MTANZANIA MPENDA SELFIE ASHTAKIWA KWA KUMTHALILISHA MHUDUMU WA NDEGE
Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 42 anashikiliwa na Mahakama Kuu ya makosa ya jinai ya jiji la Dubai, Falme za Kiarabu kwa tuhuma za kumdhalilisha mhudumu wa kike wa Shirika la Ndege la...
View ArticleMtanzania Mwingine Akamatwa kwa Kumtukana Rais Kupitia "WhatsApp"
Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi,ambapo mtu mwingine ameingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.Mtuhumiwa huyo...
View ArticleKanali Lubinga: Aliyeandika Habari ya Kuibiwa Kifaru Atasimulia...
"WATASIMULIWA WAMESHUGHULIKIWAJE?"Msemaji wa Jeshi la ulinzi wa Wananchi wa Tanzania amesema aliyeandika habari kuwa Jeshi limeibiwa Kifaru atawasimulia waandishi wengine jinsi...
View ArticleMhariri wa Gazeti la Dira na Mwandishi wake Wapandishwa Kortini
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewapandisha kizimbani, mhariri na mwandishi wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Musa Mkama na Prince Newton kwa kosa moja la kuandika habari za uongo zilizoleta...
View ArticleHONGERENI SANA HARUSI YENU ILINOGAA SANAA
Maharusi wakiingia ukumbini Mmenogaa sana maharusi Mungu awe nanyi ktk ndoa yenuKUONA PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA MC DR CHENI BLOG
View ArticleStaili’ ya Ukawa ya kubandika karatasi mdomoni yabamba mitandaoni
Dar es Salaam. Picha za watu wa kada mbalimbali nchini wakiigiza ‘staili’ mpya ya wabunge wa Ukawa waliojibandika karatasi midomoni zenye ujumbe tofauti kuhusu haki ya uhuru wa Bunge wanayodai kuminywa...
View ArticleKitendo cha Watu Kumchangia Pesa Aliyemtukana Rais Chafika Bungeni...Mbunge...
June 21 2016 Mbunge wa Nchemba Juma Nkamia alisimama bungeni kuomba mwongozo wa bunge kujadili tukio la mtuhumiwa wa kesi ya kumtukana Rais Magufuli kuchangiwa fedha na watu kwa ajili kulipa fidia,...
View ArticleWADAKUZI WA MTANDAO WAFANIKIWA KUCHUKUA ACCOUNT YA PAH ONE
Kwa kipindi cha hivi karibuni mastaa wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu kuchukulowa account zao za mitandao ya kijamii na wadakuzi.kundi la Pah One chini ya meneja wao Brown limechukuliwa account yao...
View ArticleBREAKING NEWZZ:RAIS AMTEUA MREMA KATIKA UTEUZI WAKE HUU MPYA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali na pia amewapandisha vyeo maafisa wa...
View ArticleJARIBIO LA MAPINDUZI LAGONGA MWAMBA NCHINI UTURUKI WANAJESHI WAPANGA NJAMA...
Waziri Mkuu wa Uturuki, Binali Yildirim, ameelezea jaribio la mapinduzi la jana usiku, kuwa doa jeusi katika demokrasi ya Uturuki.Na kaimu mkuu wa jeshi la Uturuki, ametangaza kwenye televisheni,...
View ArticleJaribio la mapinduzi ya kijeshi limeshindwa-Erdogan
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amelihakikishia taifa kwamba yupo madarakani na kwamba jaribio la mapinduzi sasa limeshindwa.Milio ya bunduki na milipuko hata hivyo iliendelea kusikika katika mji...
View ArticleSNURA AFUNGUKA KUHUSU CHURA WAKE,ASEMA BADO ANASHIKILIWA
MKALI wa wimbo wa Chura, Snura Mushi ‘Majanga’ amesema bado wimbo wake umezuiliwa licha ya kupeleka muswada mpya unaoongoza video mpya ya wimbo huo.Snura aliwaambia waandishi wa habari visiwani hapa...
View ArticleGold Man auawa India
Datta PhugeYule mwanamume wa India anaependa kuvalia mrundo wa dhahabu hadi kubandikwa jina The Gold Man ameuawa.Mtu huyo kwa jina Datta Phuge aliwahi kununua shati mojawapo ghali zaidi duniani kwani...
View ArticleYANGA NA MEDEAMA SC ZATOKA SARE 1-1 TAIFA JIONI HII
July 16 2016 ilikuwa ni zamu ya wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa tatu wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani...
View ArticleHarmonize adai aliwahi kuitiwa mwizi Kariakoo
Harmonize adai kuwa aliwahi kuitiwa mwizi maeneo ya Kariakoo wakati anafanya biashara ndogo ndogo.Muimbaji huyo wa lebo ya WCB hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya’ Matatizo’ ambao kwa...
View ArticleHIZI NDIZO MBINU 8 MUHIMU SANA ZA KUMFANYA MSICHANA AKUPE NAMBA YA SIMU,BASI...
Mojawapo ya kazi ngumu sana kwa mwanaume yoyote aliye kamilika ni kumtokea au kumtongoza msichana hadharani.Unakuwa unajaribu kumfanya mtu ambaye humjui sio tu kwamba akuone bali mfahamiane kwa undani...
View ArticleTume ya Vyuo Vikuu(TCU) yatoa Ufafanuzi Kuhusu Alama za Kudahiliwa Vyuoni
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza utaratibu mpya kwa watahiniwa wa mwaka mpya wa masomo wa 2016/2017 wanaochukua shahada, huku wanafunzi wengi wakiwa hatarini kukosa nafasi kwa kukosa sifa...
View Article