Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape Asema Lowassa ni Alama ya Ufisadi, ampa ushauri mgumu

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amenena tena kuhusu uamuzi wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA 27 WA NGAZI ZA JUU KATIKA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA)...

Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akipokea salamu wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa maofisa 27 wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watatu Wafa Wakidaiwa Kula Mihogo yenye Sumu

Watu watatu wamefariki dunia baada ya kula mihogo inayodhaniwa kuwa na sumu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amesema jana kuwa tukio hilo juzi saa tisa mchana katika Kijiji cha Kauzeni,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

First-ever Tanzanian manufactured helicopter to start flying soon

Tanzania has begun building its own helicopters that will be taking to the skies soon. A Tanzanian made two seater chopper is in its final stages of production and will start flying trials once it...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

List ya Nchi 11 zinazoongoza Kwa Amani na Usalama Duniani

List ya nchi zenye usalama zaidi duniani kwa mwaka 2016 imetoka hivi karibuni ambapo nchi 11 zimetajwa kuongoza kwa kuwa na usalama na amani zaidi. List hiyo ilihusisha mataifa 163 ambapo ilijulikana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Ronaldo Alivyowazuia Askari Kumkamata Shabiki Aliyetaka Kupiga Selfie...

Licha ya machungu ya kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Ureno vs Austria, superstar wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo aliwazuia walinzi wa uwanja waliokuwa wanataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la NBS kutoka Dar - Tabora na Basi la Kisbo, yamepata ajali Mbaya...

Basi la NBS linalotoka DAR kwenda TABORA limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo Morogoro. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

  CALL +255 658 194 194              BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..............................  60,000/=              BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumanne ya June 21,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bajeti Kuu Ya Serikali 2016/2017 Yapitishwa Bungeni Kwa Asilimia...

Serikali ya Tanzania imepitisha bajeti ya shilingi trilion 29.5 kwa kupigiwa kura huku wabunge wa upinzani wakiwa wametoka nje wakiwa wameziba midomo yao kwa karatasi na plasta ikiwa ni ishara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Familia Yaingilia ishu ya Mwanaume Shoga Kumtaka Mwanamuziki Juma Jux...

 Familia ya staa wa Bongo Fleva, Juma Musa ‘Jux’ imeingilia kati ishu ya mwanaume ‘tata’, mkazi wa Dar, James Delicious aliyetangaza kumtaka kimapenzi msanii huyo ambaye ni mpenzi wa Mwanamuziki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Maisha ya Siwema wa Nay wa Mitego baada ya kutoka jela

Mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson anaendelea kufurahia maisha ya uraiani ikiwa ni mwezi mmoja toka mahakama ya Mwanza kutengua kifungo cha miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya Mauaji ya Mwanahabari, Daud Mwangosi Kuendelea Leo

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, jana iliahirisha kesi ya mauaji ya mwanahabari, Daud Mwangosi inayomkabili askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Iringa (FFU), Pasificus Simon hadi leo. BONYEZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Selfie with cabin attendant lands TZ traveller in hot water

A Tanzanian (name withheld), travelling on an Emirates Airline flight from Dar es Salaam to Dubai, was charged at a Dubai court today after he pulled a cabin crew attendant towards him, hugged and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nuh Mziwanda Ajichora Tatooo ya Mpenzi Wake Mpya...Adai Huyu wa Sasa Amekuja...

Nuh Mziwanda Baada ya Kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la Kujichora Tatoo Mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Akanusha Kutaka Kurudiana na Diamond, Azungumzia Madai ya Diamond...

Baada ya Wema Sepetu kupost picha katika mtandao wake wa instagram akiwahimiza watu kumpigia kura Diamond Platnumz katika tuzo za BET na kuibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii, malkia huyo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump Anusurika Kuuwawa

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa, alitaka kumuua kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wa Ukawa Waendelea na Mgomo...Wametoka Leo Tena nje Bunge

Wabunge wa Ukawa wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia Ackson, lakini leo wametoka kimyakimya bila mbwembwe kama za jana.Kwa sasa kamati ya uongozi ya umoja huo imeingia kufanya kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama yamgomea Mbowe...Yatupilia Mbali Kesi Yao Ya Kupinga Zuio La Polisi

KESI ya madai iliofunguliwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuiomba mahakama kupiga marufuku zuio la Polisi, leo limetupiliwa mbali. Mbowe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DPP AWAONDOLEA RUFANI MAWAZIRI WAANDAMIZI MRAMBA NA YONA

Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP), ameiondoa mahakamani rufani aliyoikata dhidi ya Mawaziri Waandamizi wa zamani, wa Fedha Basil Mramba na wa Madini Daniel Yona iliyopangwa kusikilizwa jana katika...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live