Nchi 10 Zinazolipa Vizuri Mishahara Duniani...
Je, ulishawai kujiuliza nchi ambazo wafanyakazi wanalipwa mishahara ya juu? Hebu tuangalie nchi kumi ambazo wafanyakazi wanapata malipo makubwa ya kazi zao wanazofanya#10 UfaransaUfaransa ni nchi ya 7...
View ArticleHawa Ndio Watu Wanaochukiwa Zaidi Duniani
1. WATU WEUSI.Hawa ndio wanaongoza kwa kuchukiwa na kubaguliwa zaidi duniani. Wanateswa na kunyanyaswa kila sehemu walipo. Ulaya, Marekani, Australia Arabuni, Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali, na...
View ArticleMtanzania Awekwa Bondi na kaka yake kisa Madawa ya kulevya huko India....
Mtanzania amuweka mdogo wake Bondi kwaajili ya Madawa ya kulevya huko INDIA sasa wenye mzigo wamecharuka wanataka pesa zao hali sio nzuri kabisa kwa mdogo mtu Haya ndio maneno yalio sikika akiyasema...
View ArticleRais Magufuli afanya uteuzi mwingine Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA). Prof. Longinus Kyaruzi...
View ArticleTaarifa za Jerry Muro Kuteuliwa Kuwa Msemaji Msaidizi wa Ikulu, Jerry Asema Haya
Ule ujumbe wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Jerry Muro kuwa ameteuliwa na Rais John Pombe Magufuli kuwa msemaji msaidizi wa Ikulu imezua gumzo kubwa.Ujumbe huo umesambaa...
View ArticleMtoto aliyewekewa ‘mashine’ kwenye moyo aanza mazoezi
Mtoto Happiness John Mkazi wa Seliani Arusha aliyefanyiwa upasuaji kwenye moyo na kupandikiziwa kifaa cha kusaidia kudhibiti mapigo ya moyo (pacemaker), ameanza mazoezi. Daktari Bingwa wa magonjwa ya...
View ArticleHaji Manara Atoa ya Moyoni akiwa Safarini Kuelekea India kwaajili ya Matibabu
Ni wiki mbili kamili zitakazotimia leo majira ya saa nane usiku. Muda huo bila shaka nitakuwa katika anga la dunia nikisafiri kuelekea New Delhi nchini India kupitia Muscat Oman kwa ajili ya matibabu...
View ArticleDiamond Asherehekea Video ya Kidogo Kufikisha Views Milioni 1 Ndani ya Siku 4
Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa...
View ArticleWANAJESHI 2,839 WAKAMATWA BAADA YA JARIBIO LAO LA MAPINDUZI KUSHINDWA
Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim amesema wanajeshi 2,839 wakiwemo maafisa wa ngazi za juu, wamekamatwa baada ya jaribio la mapinduzi lililozimwa.Miongoni mwa wanaoshikiliwa wamo majenerali...
View ArticlePichaz za Usiku wa utoaji wa tuzo za ZIFF kilivyohappen Zanzibar..
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LEWIS MBONDE IT & BUSINESS CONSULTANCY BLOG...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO)...
View ArticlePICHA Zikionyesha Jinsi Raia wa Uturuki Walivyowachapa Wanajeshi Baada ya...
Furious civilians attack soldiers who were involved in the coup attempt after they surrendered on Istanbul's landmark Bosphorous BridgeSoldiers involved in the coup attempt in Turkey surrender on...
View ArticleMrema Afunguka: Asema Rais Magufuli Anaishi Kwenye Maneno Yake Hana Longo Longo
Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesema Rais Dkt. John Magufuli anaishi kwenye maneno yake kwa kuwa mwaka jana alipofika kwenye jimbo la Vunjo aliwaambia wananchi wamchague Mrema na...
View ArticleIKULU IMEKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEA MITANDAONI KUWA RAIS MAGUFULI AMEMTEUA...
Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya...
View ArticleStaa wa Pakistan Auawa na Kaka yake Aliyechukia Picha Alizokuwa Akiweka...
Qandeel Baloch, aliyekuwa miongoni mwa mastaa wa mitandao ya kijamii nchini Pakistan, ameuawa na kaka yake katika mji wa Multan uliopo kwenye jimbo la Punjab. Alidai amemuua dada yake kwa...
View ArticleAliyeongoza Jaribio la Mapinduzi Nchini Uturuki Akamatwa
Jenerali Erdal Ozturk (katikati) aliyekuwa kinara wa jaribio akiwa mikononi mwa wananchi.Jenerali Erdal Ozturk aliyekuwa kinara wa jaribio lililoshindikana la mapinduzi ya rais nchini Uturuki...
View ArticleWema Sepetu na Idris Sultam Wamwagana Rasmi
DAR ES SALAAM: Ubuyu wa motomoto wa mjini ni kwamba, zile mbwembwe zote za penzi la mastaa wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Idris Sultan, zinadaiwa kufikia ukingoni na sasa imebaki stori...
View ArticlePAUL Makonda Afunguka na Kutolea Ufafanunuzi Kauli yake ya Kukamata Watu...
Jukumu la Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya chini lipo chini ya Serikali za Mitaa baada ya Serikali Kuu kuhamishia madaraka yake huko likiratibiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye...
View Article