Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijana wa Mali aliyemuokoa mtoto ghorofani akutana na Rais, apewa uraia na...

Mhamiaji kutoka Mali amepewa sifa na kutunukiwa uraia wa Ufaransa baada ya kufanya tendo la kishujaa kwa kumuokoa mtoto mdogo aliyekuwa ananing’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sina Mpango wa Kurejea Huko Wabongo Watasubiri Sana- Sanchi

MWANAMITINDO mwenye umbo matata Bongo, Jane Ramoy ‘Sanchi’ amesema kuwa kwa sasa Wabongo watamsubiri sana kwani hana mpango wa kurejea nchini hivi karibuni.Akizungumza na Over Ze Weekend, Sachi ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya May 29,2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezaji wa Lipuli, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia...

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Lipuli FC ya Iringa, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Klabu ya Simba kwa dau la Shilingi milioni 30.Simba wameinyaka saini ya Salamba baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Moshi yapokea hoja tisa kesi ya Bilionea Msuya

Mawakili  wa utetezi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa madini ya tanzanite ‘Bilionea’ Erasto Msuya (43), jana walitumia saa nne na nusu kuwasilisha hoja tisa za majumuisho kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpoki apewa shavu na Alikiba

 Katika kuelekea mchezo maalumu wa hisani ya kuchangia elimu, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza kikosi cha wachezaji watakao kuwa upande wake kupambana dhidi ya  kikosi cha wachezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Khadija Kopa : Wasanii Wengi Wamekuwa Jeuri, Muda Si Mrefu na Mimi Ntaacha...

Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wengi wamekuwa jeuri na kwamba hawajitunzi kama zamani hivyio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Belle 9 Akana Tetesi za Kukimbia Mjini Baada Ya Kufulia

Msanii mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake cha ‘Masogange’ Belle 9 amekana tetesi zinazodai kuwa amefulia.Belle 9 alipata shavu la kusainiwa na label ya ‘Vitamin Music’ ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Akana Kumpigia Magoti Zari ili Warudiane

Msanii wa bongo fleva maarufu  nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari na kumuomba radhi mwanamama huyo ambapo taarifa za hapo awali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu apelekwa India kutibiwa, ashindwa kuhudhuria Mahakamani

Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya matumizi ya dawa za kulevya ameshindwa kufika mahakamani leo na kudaiwa kuwa yupo nchini India kwa matibabu.Hayo yameelezwa na Mama mzazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania tumerogwa, kufa masikini ni ufala – Mch. Anthony Lusekelo ‘Mzee wa...

 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’ bado anaamini kuwa Mtanzania kufa masikini ni ujinga na ufala hii ni kutokana na rasilimali zilizopo ndani ya nchi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyoka wa ajabu aibuka kwenye Daladala Dar

DUNIA ina mambo! Joka la ajabu aina ya chatu, hivi karibuni lilizua tafrani ya aina yake ndani ya daladala na kusababisha kizaazaa huku watu kibao wakijazana eneo la tukio, Wikienda linakujuza.Tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali ya bodaboda yaua Familia

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha pikipiki na basi mali ya kampuni ya Saratoga.Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, George Kyando amesema tukio hilo limetokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Alhamisi ya June 14,2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO KILICHOBAMBA LEO MTANDAONI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDSM Yawalilia Wanafunzi Wake Waliofariki Katika Ajali

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania Aibuka Kidedea Mashindano Ya Kuhifadhi Quran Afrika.....Waziri Mkuu...

KIJANA wa Kitanzania, Shujaa Suleiman Shujaa ameibuka kidedea na kitita cha sh. milioni 15 katika mashindano ya 19 ya Afrika ya kuhifadhi Quran kwenye kundi la washiriki wa juzuu 30.Shujaa mwenye miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Chuo cha SAUT Ajinyonga Baada ya Timu Yake ya Liverpol Kufungwa

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Helen Kijo-Bisimba Ang'atika LHRC....Bi. Anna Henga Achukua Mikoba Yake

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imemtangaza Bi. Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa kituo hicho ambapo atapokea mikoba ya Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba.Uteuzi wa Bi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mh. Bilago.

Baadhi ya Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Kasuku Bilago.Awali mapema leo Naibu Spika, Tulia Akson aliahirisha Bunge kutokana na Msiba huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe asimulia maneno ya mwisho ya marehemu Bilago

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameeleza maneno ya mwisho aliyoambiwa na marehemu Kasuku Bilago aliyekuwa Mbunge wa Buyungu mkoani Kigoma, ambapo alimwambia anahitaji msaada wa haraka wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI

Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano tanzania (TCRA), Blogu ya LEWIS MBONDE BLOG...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga baada ya Ngoma kumalizana na Azam “tulimvumilia sana”

Baada ya Azam FC kutangaza imeingia makubaliano kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Yanga Donald Ngoma, uongozi wa Yanga umesema umeumizwa na kitendo hicho.“Tulikuwa tunajua Ngoma anaumwa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shetta Afunguka Kilichomtenganisha na Diamond Platnumz

Msanii wa muziki Bongo, Shetta amefunguka kwanini kipindi hiki haonekani karibu na Diamond kama ilivyokuwa mwanzo.Shetta amesema kwa sasa kinachowatenganisha ni biashara tu na hakuna zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumatatu ya May 28,2018

View Article