Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

WADAKUZI WA MTANDAO WAFANIKIWA KUCHUKUA ACCOUNT YA PAH ONE

$
0
0

Kwa kipindi cha hivi karibuni mastaa wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu kuchukulowa account zao za mitandao ya kijamii na wadakuzi.

kundi la Pah One chini ya meneja wao Brown limechukuliwa account yao ya instagram na kubadilisnhwa picha. Meneja wa Pah one ameieleza Bongohotz.com kuwa wamepata pigo hilo katika kipindi hiki ambacho wanatarajia kuachia video zao mpya. 

Lakini pia meneja wa pah One "Brown" amewaandikia ujumbe mashabiki wake..
"HACKING
ACCOUNT YA PAH ONE IMEKUA HACKED LEO
JINA LIMEBADILISHWA LIMEKUA @MMILIKI_WA_INSTA2
TUNAOMBA ALIYEFANYA HIVI AACHE HUU MCHEZO ANAKWAMISHA MAENDELEO YA WATU"

Hadi sasa haijajulikana nani anafanya mchezo huo kwa mastaa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles