Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Harmonize adai aliwahi kuitiwa mwizi Kariakoo

$
0
0
Harmonize adai kuwa aliwahi kuitiwa mwizi maeneo ya Kariakoo wakati anafanya biashara ndogo ndogo.
Harmo
Harmo
Muimbaji huyo wa lebo ya WCB hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya’ Matatizo’ ambao kwa asilimia kubwa umeeleza uhalisia wa maisha aliyo yapitia.
Akiongea kwenye kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Harmonize alisema kuwa kile kipande cha kwenye video yake ya ‘Matatizo’ ni historia ya kweli kwenye maisha yake wakati anafanya biashara ndogo ndogo Kariakoo.

Tazama video hapa.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles