Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHID BENZ ASEMA HAYA JUU YA STAA DIAMOND PLATNUMZ KUTOBOA PUA

Baada ya miezi kadhaa kutoka sober, Chid Benz jana ameachia ngoma yake mpya iitwayo Chuma aliyomshirikisha mkali wa ngoma ya Natafuta Kiki, Rayvany,kwenye kipindi cha XXL, amesimulia kwa mara ya kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sio kwa kujiamini huku…. huyu Mrembo anacheza na Simba sakafu moja na mpaka...

 Tunajua kuna ile list ya Wanyama wakali duniani ambao Binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao…. na ukisikia kuna Simba kaonekana mtaani najua hautotoka nje ila yeye huyu Mrembo kwenye Hifadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Afunguka baada ya Kuchoshwa na Majungu ya Watu

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ameonesha kuchoka na maneno mbalimbali kutoka kwa watu hususani kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha kuamua kutoa yake ya moyoni kwa watu wote ambao wamekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nina Furaha Toka Nitoke CCM - Edward Lowassa

Lowassa kupitia ukurasa wake wa Facebook ameelezea furaha yake namna ambavyo ameimarika zaidi baada ya kujitoa ndani ya CCM hadi sasa ambapo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.''Nina furaha kutimiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Ulikuwa Unajiuliza Wanawake wa Mjini Wanaishije Bila Kazi na Huku...

Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya walahahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yakeanachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwambahayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE MesejiTamuuu ambayo kila danga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Koffi Olomide aachiwa huru kutoka jela baada ya kutumikia kifungo kwa siku 2

Koffi Olomide Alikamatwa Jumanne July 26 2016 nyumbani kwake Kinshasa kwa tuhuma za kumshambulia dancer wake wa kike wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi na baadaye ikawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndio Magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather

Floyd Mayweather ni bondia wa kimataifa anayetajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia, achilia mbali mataji makubwa aliyonayo, mwaka 2015 katika pambano lake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimu 4 wamvua nguo na kumchangia viboko binti wa Kidato cha IV Mbeya huku...

VITENDO vya ukatili wa kijinsia na dhuluma dhidi ya watoto wa kike vimekuwa vikishamiri kila siku pamoja na kuwepo kwa taasisi za kutetea haki za wanawake  na kuanzishwa kwa madawati ya Kijinsia kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA MWANZA MBARONI KWA KUMTUKANA RAIS MAGUFULI NDANI YA GARI

Mgomo wa daladala Jijini Mwanza umesababisha kijana mmoja Jijini humo kutamka lugha chafu ndani ya gari ambayo alipewa lifti limemsababishia kuishia mikononi kwa sheria.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa ONYO Kali....."Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Julai, 2016 ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma, ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa muhimu kwa wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu walioko Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vitu alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Timu...

Kuelekea mkutano mkuu wa Simba unaotaraji kufanyika Jumapili ya Julai, 31, shabiki na mkeleketwa wa Simba ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Professor Jay: Kutokujua kimombo si dhambi

Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kuwa kutokujua Kiingereza siyo dhambi.Rapper huyo kwa sasa anakiki na wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha msanii wa nyimbo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE AKOSA DHAMANA AENDELEA KUSOTA LUPANGO

Juhudi za wanasheria wa Koffi Olomide kutaka apewe dhamana zimegonga mwamba Ijumaa hii.Kesi yake ilisikilizwa leo huko Kinshasa. Anashikiliwa kwenye gereza la Makala.“Ni aibu. Ni lazima afurahie haki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilionea Mohamedi Dewji Atoa sababu kwanini hajanunua Ndege binafsi

Kama ni msomaji na mtumiaji mzuri wa mitandao hususani ya kijamii, basi utakuwa ushawahi kukutana na headlines za mtanzania katika jarida la Forbes, mtanzaniaMohammed Dewji ambaye amewahi kutajwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajipiga Risasi Kichwani Akitafuta 'Selfie Ya Mwaka'..Tazama Ilivyokuwa

Ajipiga risasi akitafuta 'Selfie ya mwaka'Polisi India wamesema kuwa kijana mmoja amejipiga risasi kichwani kimakosa,akitafuta mbinu ya kujipiga picha ya ''selfie'' ya kipekee akiwa na bastola ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kupiga mnada majengo ya wizara, atakayegoma kuhamia Dodoma...

Rais John Pombe Magufuli amesema azma ya serikali yake kuhamia Dodoma haraka iwezekanavyo ipo pale pale huku akiwaonya wale wataong’ang’ania kubaki Dar es Salaaam kuwa watakuwa wamejifukuzisha kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WOLPER ADAIWA KULEWA MBELE YA MAGUFULI

MSANII nyota wa fi lamu Bongo, Jacqueline Wolper hivi karibuni anadaiwa kuongea  mbele ya Rais Dk John Magufuli akiwa bwii wakati alipopewa nafasi ya kuzungumza na wana-CCM mjini Dodoma baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MUSEVENI WA UGANDA AWA GUMZO TENA MITANDAONI SASA ACHEZA MPIRA BARABARANI

Raisi wa Uganda Yoweri Museveni haishiwi vituko kila kukicha.Kutoka kupokea simu hadharani barabarani mpaka kucheza mpira kwenye barabara haya mambo yanachekesha na kufurahisha sana jamani.Mambo kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trafiki Wakusanya Milioni 320 Kwa Siku Nne DSM

Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam limekusanya shilingi milioni 320.2 ambapo fedha hizo ni kutokana na tozo za makosa ya usalama barabarani.Askari wa kikosi cha usalama...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live