Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Haya Ndio Magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather

$
0
0
Floyd Mayweather ni bondia wa kimataifa anayetajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia, achilia mbali mataji makubwa aliyonayo, mwaka 2015 katika pambano lake la kihistoria dhidi ya Manny Pacquiao baada ya ushindi alipata dola milioni 100.
Mayweather haishiwi na Headlines, mara nyingi stori zake zinahusiana na utajiri alionao, hapa nimekuwekea picha za magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather na makadirio ya bei zake.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles