Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Sio kwa kujiamini huku…. huyu Mrembo anacheza na Simba sakafu moja na mpaka anambusu

$
0
0
 
Tunajua kuna ile list ya Wanyama wakali duniani ambao Binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao…. na ukisikia kuna Simba kaonekana mtaani najua hautotoka nje ila yeye huyu Mrembo kwenye Hifadhi binafsi ya Wanyama hana neno na Simba aliokaa nao toka wadogo, wala hawana neno nae.. mtazame kwenye hii video hapa chini



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles