Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Kilimo kuhamia Dodoma wiki ijayo

KATIKA kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kutaka serikali kuhamia Dodoma, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Charles Tizeba amesema watendaji wa wizara hiyo wataanza kuhamia Dodoma kuanzia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi Ndivyo Koffi Olomide alivyotoka kuwa staa anayesherehekewa hadi mhalifu...

Mambo yameenda haraka sana kwakweli. Hadi Ijumaa iliyopita, mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Antoine Christophe Agbepa Mumba maarufu kama Koffi Olomide alikuwa staa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chidi Benz asimulia jinsi Mr Blue alivyokuwa akilia machozi kila alipokuwa...

Kwa mujibu wa Chidi Benz, watu wote walikuwa na uwezo wa kumwacha na kumchoka katika majaribu aliyoyapitia, lakini si Mr Blue.Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM wiki iliyopita, Chidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jay Moe Afunguka Kutoka Kimapenzi na Shilole

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya 'Pesa Madafu', Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya 'Chafu Pozi' kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:ASKARI POLISI ALIYEMUUA MWANAHABARI MWANGOSI AHUKUMIWA JELA...

MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa leo imemhukumu kwenda jela miaka 15 askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27) aliyemuua mwandishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEY WA MITEGO AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MUZIKI APIGWA FAINI YA MILIONI MOJA.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki (Ney wa Mitego).Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shibuda: Msindai, Mpendazowe Wanafiki

HATUA ya Fredy Mpendazowe na Mgana Msindai kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatokana na kuhangaikia maslahi binafsi, anaandika Dany Tibason.Msindai, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi wa DUCE Achomwa Kisu Baada ya Kufumaniwa na Mpenzi wake

Ni wanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu UDSM college ya DUCE kilichopo Chang'ombe, ilikua Jumapili ya tarehe 24/7/2016.Jamaa aliyefahamika kwa jina la Jimmy alimfumania mpenzi wake jina Leah...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kambi ya Lowassa Yamfungukia Jack Wolper Baada ya Kuwageuka

Kambi ya aliyekuwa Mgombea Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa tiketi ya Chadema, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa imemfungukia muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, siku chache...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:BODI YA MIKOPO YATANGAZA MAJINA 1,091 YA WADAIWA AMBAO...

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua kipindi wanasoma, na wenye majina yao kwenye orodha hii kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GEITA: Waziri Mwigulu Aweka Gwaride la Utambuzi, Amkamata Mchina Aliyemtesa...

Nimefika Mgodi wa Nyamhuna unaodaiwa kuwa raia wa china ambao ni sehemu ya wamiliki wa mgodi huo wakishirikiana na watanzania walimtesa kinyama na kumjeruhi mmoja wa mtanzania mwenzetu aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi ya July 28, Ikiwemo ya Chadema Kubadili Gia Angani....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE Ajilipua Kwa Bomu Katika Shambulio la Ugaidi Somalia

Mmoja wa washambuliaji wa kujitoa mhanga waliohusika katika shambulio lililotekelezwa karibu na kambi ya vikosi vya Umoja wa Afrika (AU) mjini Mogadishu mnamo Jumanne aliwahi kuwa mbunge.Salah Nuh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO:Aliyepigwa Picha za Utupu na Kusambazwa Mitandaoni Huyu Hapa, Ahojiwa...

Mhanga wa picha za utupu zilizosambaa mtandaoni amehojiwa na na kudai kuwa ni kweli pcha hizo alizopiga ni za kwake na alizipiga akiwa anajitambua na mwenzi wake huyoa liyekuwa amepiga nae picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDADA KWANINI UVAE NGUO FUPI MWENYEWE HALAFU UKOSE AMANI

Umevaa nguo fupi mwenyewe na ulivyotoka nyumbani ulijiona umependeza umefika njiani unaanza kuhangaika kuishusha kuziba mapaja au sehemu iliyo wazi, kwani ulivyo vaa hukulijua hili? Kama umea amua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Papa Francis Aanguka Ghafla Akiongoza Misa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amepata ajali ya kuanguka ghafla alipokuwa akitembea kuelekea kwenye jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kuendesha ibada, Czestochowa nchini Poland.Papa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamia wafurika kununua viwanja Dodoma

MAMIA ya wananchi wameanza kupeleka maombi ya viwanja katika ofisi za Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA), imeelezwa.Hali hiyo imetokea baada ya Rais Dk. John Magufuli kutangaza nia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Kanumba yenye maneno ya kuumiza yasambaa ‘wasipoona mchango wangu...

Wiki hii katika mitandao ya kijamii imesambaa video ya marehemu Steven Kanumba akilalamika jinsi watu walivyokuwa wakipinga jitihada zake za kuipeleka tasnia ya filamu kimataifa.Video hiyo ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEPIGA PICHA ZA MAUWAJI YA MWANAHABARI MWANGOSI AFARIKI DUNIA

Mpiga picha wa Gazeti la Tanzania Daima, aliyepiga picha za tukio la mauaji ya Mwangosi Joseph Senga enzi za uhai wake.Na Dotto BulenduNI simanzi na majonzi, siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 29,2016

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live