Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF Waitaka ZEC Kuondoa Jina la Maalim Seif Kwenye Karatasi za Kura

Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Most Powerful Witchdoctor In East Africa, Warns Kenyans Not To Call Him “...

He  is  so powerful  to  the  extent  that, some  Kenyans  are  now   reffering to  him  as  “  mungu  wa  pili “,   a  Swahili   for  the  second  god.However , Sheikh  Saleh, a  descendant  of  Arabs...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe...

Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja iliyotolewa na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma.Ikiwa imepita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuajiri Vijana 71,408 Mwaka Huu.......Halmashauri Zaagizwa Kutenga...

Serikali katika mwaka wa fedha 2016/2017 imepanga kuongeza ajira kwa vijana ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania kwa kuongeza ajira na kuwezesha wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Magdalena Sakaya Aituhumu Serikali Kuwa Chanzo Cha Ukosefu Wa Ajira...

Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Magdalena Sakaya CUF amesema tatizo kubwa la ajira nchi hii linachangiwa na serikali yenyewe.Magdalena ameyasema hayo wakati akichangia mpango wa serikali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAKWATA Waunga Mkono Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

WAKATI Chama  cha wananchi CUF ambacho ni chama kikuu cha Upinzani visiwani Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20 ya mwaka huu,Baraza la Waislam  (BAKWATA)  limesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Yapiga Marufuku maandamano ya vijana wa Chadema kwenda Ikulu Kesho

Jeshi la Polisi limetoa tamko kuhusu tangazo la Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kuwa kesho wamepanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa lengo la kuishinikiza serikali kubadili msimamo wake kuhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lionel Messi to meet The Little Afghan Boy With Plastic Bag Jersey written '...

Stories that melt your heart! Barcelona star Lionel Messi is hoping to arrange a meeting with an Afghan boy who shot to fame after pictures of him dressed in a striped plastic bag jersey went viral...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodaboda Agonga Gari Na Kufariki Papo Hapo

DEREVA wa bodaboda, Colnery Mpande (18), mkazi wa Kiluvya Kwa Komba, amekufa baada ya pikipiki aliyokuwa akiiendesha kugonga gari kwa nyuma na yeye kuangukia barabarani na kukanyagwa kichwa na gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO TANZANIA,JUMATANO FEB 03,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA KUBWA INAYOENDELEA KUNYESHA DODOMA YADONDOSHA UKUTA WA CHUO CHA...

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Dodoma  ya leo majira sa kumi na mbili jioni yadondosha  ukuta wa chuo cha biashara CBE upande wa bara bara kuu na kusababisha eneo hilo kuwa wazi na maji mengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaya 50 karibu na ghorofa 16 eneo la Indira Ghandi zapewa siku 3 kupisha...

Zaidi ya kaya 50 zinazoishi kuzunguka jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gadhi katikati ya jiji ambalo linatakiwa kubomolewa zimepewa siku tatu ziwe zimeondoka kwa muda ili kupisha zoezi hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli,...

Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bei ya Mafuta Yashuka Tena

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bei za mafuta hapa nchini kuanzia 3/2/2016

PetroliDizeliMafuta Ya TaaDar es Salaam1,8421,6001,699Arusha1,9261,6841,783Arumeru (Usa West)1,9261,6841,783Karatu1,9451,7021,801Monduli1,9321,6891,788Ngorongoro (Loliondo)1,9831,7401,839...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

                 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)............................  60,000/=              BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG).................... 45,000/=              ADSENSE (BLOGGER...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KABILIANA NA CHANGAMOTO KATIKA MAISHA,USIKATE TAMAA

KUNA wakati maisha yako yanaporomoka kutokana na kupatwa na misukosuko ya maisha kama vile kufiwa na mke, mume au mtoto wako, kusalitiwa na marafiki uliowategemea maishani mwako, kukimbiwa na mke au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News..Kabwe Zitto Kununua Timu Kubwa ya Mpira Nchini....

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT), ametangaza azma ya kuinunua timu ya soka ya JKT Kanembwa inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.Akizungumza , mbunge huyo alisema kuwa tayari...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live