Dr. Slaa Ajibu Mapigo....Akanusha Nyumba Yake Kupigwa Mnada Kisa Mkopo...
Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa ametoa majibu kuhusu taarifa zinazoandikwa kwenye baadhi ya magazeti nchini pamoja na mitandao kuwa nyumba yake...
View ArticleMwanamke Akiwa na Tabia Hizi, Kwangu ni First Disqualification
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao....
View ArticleMwigizaji Batuli Afunguka Kuhusu Kuzulimiwa na Ray Kwenye Movies Mpya ya Bosi...
Waigizaji Batuli na Ray ni kama wana bifu la chini chini baada ya kurushiana maneno InstagramPicha ilianza pale Lemutuz alivyoshare Tangazo la Movie yao mpya iitwayo tajiri mfupi kwenye page yake ya...
View ArticleMahakama Ya Rufaa Kuamua Ugomvi Wa Nyumba Kati Ya Afande Suleiman Kova Na...
Mahakama ya Rufaa wiki ijayo inaanza kusikiliza kesi za rufani 50 za jinai na madai katika Kanda ya Arusha ikiwamo rufaa ya makamishna wawili wa Jeshi wa Polisi wanaogombea nyumba ya serikali iliyopo...
View ArticleBinti wa Kitanzania Amayesoma India Adhalilishwa Kwa Kupigwa Na Kuvuliwa Nguo
Mtanzania anayesoma India amepigwa, kuvuliwa nguo na kisha kulazimishwa kutembea akiwa uchi na kundi la watu nchini humo.Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 21 (jina linahifadhiwa) anayesoma shahada...
View ArticleAzam FC yachukua kombe la Michuano Maalum Zambia
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetwaa ubingwa wa michuano maalumu iliyomalizika jijini Ndola Zambia baada ya kutoa suluhu dhidi ya Zanaco FC ndani ya Uwanja wa Levy Mwanawasa.Sare...
View ArticleMume Amcharanga Mke Wake Kwa Panga Sehemu Mbali Mbali Kisa Sh 5,000 ya Matumizi
Mkazi wa kijiji cha Buhembe, mkoani mara, Martha Hussein 'Bhoke' amecharangwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake kwa kutumia Sh 5,000 ya matumizi ya nyumbani kwa kumnunulia babu yake...
View ArticleNay wa Mitego Asababisha Ugomvi Mkubwa Bongo Flava na Bongo Movies...
Nay wa Mitego Kimenuka! Harufu ya damu inanukia ndani ya tasnia za Bongo Movie na Bongo Fleva, Mbongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amewachana vibaya mastaa wa filamu ambao nao wameshindwa...
View ArticleNay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo Movie Mahakamani
Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo:Nay...
View Article.Zitto Kabwe Atangaza Kusameheana na Freeman Mbowe...
Zitto Kabwe Akipeana Mikono na MboweKupitia ukurasa wake wa Facebook muda mchache uliopita, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameweka picha yake na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na kuandika...
View ArticleMbowe Akiri Kumkosea Zitto.....Amuangukia!
Mh MboweKatika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na...
View ArticleMbowe Na Zitto Kabwe Wazika Rasmi Ugomvi Wao Wa Muda Mrefu
Uhasama uliodumu kwa muda mrefu kati ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe sasa ni wazi unaonekana...
View ArticleUchaguzi Mameya Kinondoni na Temeke sasa Kurudiwa
Uchaguzi wa umeya katika Manispaa za wilaya za Temeke na Kiondoni utarudiwa baada ya kugawanywa na kuzaa wilaya za Ubungo na Kigamboni.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa...
View ArticleIndia: Tanzanian girl allegedly assaulted in Bengaluru
Bengaluru, Feb 3 (ANI): A 21-year-old Tanzanian student was allegedly assaulted by a mob after being mistaken to be involved in an accident in Bengaluru. Legal adviser of All India African Union Bosco...
View ArticleNuhu Mziwanda Afikwa na Maji Shingoni...Ampigia Shilole Magoti
STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anasemekana amemwangukia kwa mara nyingine aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumtaka warudiane. Kwa mujibu wa chanzo...
View ArticleImebainika Mashine ya CT Scan Iliyofungwa Muhimbili Hospital ni ya Chuo...
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto imekiri kwamba mashine ya CT Scan iliyofungwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ilikuwa ni ya kituo cha kisasa cha kutolea huduma za afya...
View ArticleNjia Kumi na Moja za Kumfanya Mpenzi Wako Asitoke nje na Michepuko
1. TAMBUA THAMANI YAKEUnapokuwa Umeapa Kuwa Utampenda Mwenzako Hadi Kifo Kitakapowatenganisha, UweUmefanya Hivyo Kwenye Nyumba Ya Ibada Au Kwingine, Lazima Ufahamu Jinsi Ya KutambuaJuhudi Za Mpenzi Au...
View ArticleLowassa Aunga Mkono Maamuzi Ya CUF Kutoshiriki Uchaguzi Zanzibar
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananch UKAWA, Mh. Edwrad Lowassa amesema ni vema serikali ikahakikisha inapata suluhu ya mgogoro wa kisiasa...
View Article