$ 0 0 Mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Dodoma ya leo majira sa kumi na mbili jioni yadondosha ukuta wa chuo cha biashara CBE upande wa bara bara kuu na kusababisha eneo hilo kuwa wazi na maji mengi mithili ya bwawa la samaki kujaa eneo hiloCredit to Boss Ngasa