Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

CUF Waitaka ZEC Kuondoa Jina la Maalim Seif Kwenye Karatasi za Kura

$
0
0

Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo.
Chanzo: DW Swahili



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles