Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZARI Proves She is The Hottest Woman in East Africa Even After Giving birth...

Although some haters compare her to an old grand-mother, popular Ugandan socialite, Zari Hassan, has often showed that she is the s3xiest woman in East Africa.Just see how she has been able to maintain...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAPILI NOVEMBA 8,2015

.................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: TB Joshua Avunja Ukimya.. Aandika Meseji Hiii Hapa Kuhusu...

T.B. Joshua has broken his silence on the several meetings he has held with Tanzania’s Former Prime Minister Edward Lowassa since his arrival in the country this week.Using the social media platforms...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI..Wastara Juma Kukatwa Mguu Tena

MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hapa Kazi Tu: Magufuli Afuta Safari Zote za Nje ya Nchi Kuanzia Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi katika Ikulu ya Dar es Salaam amefanya kikao na Makatibu wakuu, Manaibu Makatibu wakuu, Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwili wa Mwanafunzi Mtahiniwa wa Kidato cha Mne Aliyesombwa na Mafuriko...

 Miili ya watu wawili waliokufa maji baada ya kusombwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mwanzoni mwa wiki hii jijini Mwanza, ukiwamo wa mwanafunzi, imeopolewa kwenye mwalo wa Ziwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Ashambuliwa Kwa Kuzungumza Kiswahili Marekani

Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili.Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano Wake

Lowassa Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano WakeBONYEZA HAPA KUSOMA UJUMBE HUO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Mkurugenzi wa Haki za binadamu Dr. Helen K. Bisimba amepata...

 Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen K. Bisimba amepata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam. Amekimbizwa hospitali tunaendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSUNAMI LAIKUMBA NEW SOUTH WALES, AUSTRALIA

Mawimbi ya bahari yakikutana.Wingu zito ndani ya Uwanja wa AllianzNdege ya Qantas Boeing 737-800 ikisafiri juu ya wingu zito kuelekea New South Wales huku mvua kubwa ikinyesha.Watalii wakitazama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 7 WAUAWA KINYAMA BURUNDI

Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa baada ya kutokea kwa mauaji hayo.Watu wenye silaha wamewapiga risasi na kuwauwa watu saba usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Burundi- Bujumbura Watu hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR MNINDO: FAHAMU KUHUSU NUKSI/MIKOSI KATIKA MAISHA

NUKSI/MIKOSIHakuna mtu aliyezaliwa na nuksi.Bali watu hutupiwa nuksi za majini na nyingine huwa tunazikumba katika mahusiano ya kimapenzi kwa mfano mwanamke akamuambukiza mwanaume, hapo ndipo huona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimaye Salva Rweyemamu Aondoka Rasmi Ikulu. Kukabidhi Ofisi Kesho Nov 9, 2015

I depart the State House a Happy Man - SalvaOne of the most admirable attributes of this digital age sweeping our lives, is the capacity it has created for would be volunteers, who are in no way in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Samattha Mfungaji Bora, TP Mazembe Mabingwa Africa

Nyota wa Tanzania na timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefunga goli moja kwenye ushindi wa magoli 2-0 iliyoupata timu yake ya TP Mazembe kwenye mchezo wa marudiano wa fainali ya vilabu bingwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Beef: 50 Cent na Rick Ross, washambuliana na kurushiana maneno kwenye mitandao!

Wasanii wa muziiki wa HipHopMarekani, 50 Centna Rick Ross wanaziandika headlines baada ya wawili hao kufufua beef  kati yao kwenye social media… ugomvi ulianza siku ya ijumaa baada ya 50 Centkupost...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 9, 2015 yameamka na hizi kwenye...

....................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi Mpya wa Hospitali ya Muhimbili Aliyeteuliwa na Rais Magufuli Aanza...

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Hussein Kidanto (kushoto) akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence Mseru (kulia) ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agizo la Rais Magufuli kwa Muhimbili kuhusu mgonjwa aliyekuwa anaishi kwenye...

Mgojwa huyu ni ndugu Chacha Makenge ambaye habari zake zilitangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari mwaka 2013 kujichimbia handaki aliloligeuza makazi yake, katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari Polisi Afutwa Kazi Baada ya Video Kuonesha Akipokea Fedha

JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyetambulika kwa namba F. 785 CPL Anthony Temu (46) wa kituo cha Polisi Kabuku kwa kosa la kufedhehesha jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

                                     PROPOSAL FOR DONORS   ................................................250,000/=KUANDAA KATIBA YA NGO NA KIKUNDI..............................150,000/=BUSINESS PLAN...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live