











Ufukwe wa Bondi
New South WalesTsunami la aina yake limeikumba pwani ya New South Wales huko Australia jana kuanzia majira ya mchana hadi jioni.
Wataalam wa hali ya hewa nchini humo wamesema kuwa, Tsunami la aina hiyo (lililotokea jana) wenyewe wakiliita ‘arcus Tsunami’ husababishwa na mgongano wa kingo za mawingu na kupelekea kuzalishwa kwa nishati mwendo yenye nguvu na kasi kubwa ambayo.
Nishati hiyo ikisafiri kutoka eneo moja kwenda jingine husababisha madhara makubwa, kuleteleza uharibifu wa vitu, mazingira, kubadili kasi na uelekeo wa mkondo wa bahari na upepo.
Aidha kutokana na Tsunami hilo, hakuna vifo wala majeruhi walioripotiwa mpaka sasa.