
Wasanii wa muziiki wa HipHopMarekani, 50 Centna Rick Ross wanaziandika headlines baada ya wawili hao kufufua beef kati yao kwenye social media… ugomvi ulianza siku ya ijumaa baada ya 50 Centkupost picha kwenye Instagram Tshrt ya kumkejeli Rick Rossna maneno yaliyosema ”