TB Joshua Ayeyuka Ghafla...... Aacha Maswali Mazito Hapa Nchini
Muhubiri wa kimataifa nabii maarufu duniani Temipote Balogun maarufu kama TB Joshua ameacha maswali baada ya kushindwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa awamu ya tano Dk.John...
View ArticleForget About Zari ! .....Lulu And Diamond In Love !.....His Family Wants Him...
Hot gossip is that, Lulu Elizabeth Michael and Diamond Platnumz are in love secretly and Diamond's family has no problem about it. This comes after reports broke Diamond and his baby mama Zari The Boss...
View ArticleMke wa Lowassa Akataa Ubunge Wa Viti Maalumu Aliopewa na Chadema
Mke wa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, Regina Lowassa, ameikataa nafasi ya ubunge wa viti maalum aliyopewa na kamati Kuu ya chama...
View ArticleZari Blasts Haters For Accusing Her Of Applying Make Up On Her Kid
Yesterday, there was trending photo of Princess Tiffa, Zari’s 2 month old baby wearing make up that spawned a sh-t load of wild accusations against the boss lady’s parenting skills through social...
View ArticlePicha: Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa...
View ArticleHapa Kazi Tu: Rais John Pombe Magufuli Afanya Ziara Ya Ghafla Wizara Ya Fedha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha....Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. Akitembea...
View ArticleTazama VIDEO Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa...
View ArticleHABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...
HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...
View ArticleSerikali YASITISHA Matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli
Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe...
View ArticleNEC yatoa idadi ya Wabunge wa Viti Maalum .....CCM viti 64 CHADEMA viti 36...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Mhe. Damian Lubuva ametangaza idadi ya wabunge wa Viti Maalum leo katika ukumbi wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. BONYEZA HAPA...
View ArticleI'm Tired of Comparisons With Lionel Messi: Cristiano Ronaldo
Real Madrid's Cristiano Ronaldo is tired of comparisons with Barcelona rival Lionel Messi and understands why some people must dislike his personality or the ways he sees football. Speaking ahead of...
View ArticleMAJAMBAZI WATEKA MAGARI HUKO TABORA HUKU WAKIIMBA "HAPA KAZI TU"
Kundi la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali kama mapanga na marungu, juzi waliteka magari katika kijiji cha Igogo,Wilaya ya Igunga huku wakiimba ‘hapa kazi tu’.Baadhi ya...
View ArticleWatu Wanne Wapandisha Kizimbani Kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kwenye Mtandao...
WATU wanne wakiwemo ndugu watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp, kuwa nchi inaingia...
View ArticleLowassa Alivyoipaisha CHADEMA Katika Uchaguzi Huu, Ni Asset na Ataendelea...
LOWASSA ni "Asset au Liability.-Kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya chadema, chadema ilikuwa na majimbo 23 tu na viti maalumu 26 na kuwa na wabunge 49 ktk bunge la 10 la 2010-2015, ujio wa Lowassa...
View ArticleUTAMU WA PENZI NI NIPE,NIKUPE SI VINGINEVYO
JUMAMOSI nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano. Mapenzi ‘yana-run’ dunia hivyo si vibaya kila siku tukaendelea kuyajadili...
View ArticleDiamond Platnumz Amjibu Wema Sepetu Baada ya Wema Kusema Anajikweza na Gari...
Musa matejaBAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi...
View ArticleAm sure 99% of you, never saw this Wema’s photo before…….This is when she was...
Am sure 99% of you, never saw this Wema’s photo before…….This is when she was a very young girl. Just see
View ArticleWATU NA VITUKO VYAO:JAMAA APIGA MSWAKI NDANI YA TRENI LONDON,HANA HABARI NA...
Kama ingekuwa ni show ya comedy tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA WATENDAJI...
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi,...
View Article