Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Frank Mwakajoka wa Chadema Aibuka mshindi ubunge jimbo la Tunduma

Frank Mwakajoka,Mgombea ubunge wa CHADEMA/UKAWA jimbo la Tunduma (mbeya) ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndio Majimbo 49 Ambayo CCM imeshinda Kwa Kishindo

1. Chalinze- Ridhiwani J. Kikwete2. Kibaha Mjini- Sylvester Francis Koka3. Gairo-Ahmed Shabiby4. Mvomero-Suleiman Ahmed Saddiq5. Chemba- Juma Selemani Nkamia6. Bahi-Omar Ahmed Badwel7. Kibakwe-George...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Update Za Matokeo Malimbali Ya Ubunge na Udiwani Zinapatikana Hapa....Karibu

Jimbo la Mbinga Vijijini Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mbinga Vijijini Martin Msuha ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hiloJimbo la MonduliUbunge: Julius Kalanga (Chadema)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News:Maalim Seif Sharif Hamad Ajitangazia Ushindi wa Urais Zanzibar..

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa baada ya chama chake kukusanya fomu zote za matokeo kutoka vituoni, yeye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabomu ya Machozi Yarindima Zanzibar Kuwatawanya Wafuasi wa CUF Walioingia...

Hali  ya  Usalama  Zanzibar  sio  nzuri, Polisi amelazimka  kutumia  mabomu  ya  machozi  kuwatawanya wafuasi  wa  CUF  walioingia  barabarani  kushangilia  ushindi  wa  Maalim Seif Sharif Hamad...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meet The Handsome Young Man Who Has Been Eating HUDDAH MONROE …. He Is Rich Too

Huddah Monroe has finally revealed the identity of the man whose cars she has been flossing with on social media.The mysterious guy uses the handle @Romeoluuv and he is a sight to behold for ladies.See...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Waongea na Vyombo vya Habari.....Wamesema Hadi sasa Wameshinda Majimbo...

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.Tathmini ya Upigaji KuraKama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Kaongea na Vyombo vya Habari Mchana wa Leo.......Kasemaje?? Bofya Hapa

Nimewaita kueleza masikitiko yetu mawili haswa katika upande wa jeshi la Polisi. Tuna vijana wetu wanaofanya kazi za IT kwa kujitolea maeneo ya kinondoni na kijitonyama jumla ya vituo vitatu.Hawa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC Imetangaza Matokeo Katika Majimbo Mengine 10......Mpaka sasa Magufuli...

Tume  ya taifa  ya Uchaguzi  imeendelea  na  zoezi  la  kutangaza  matokeo  ya  Urais  ambapo  jioni  hii  imetoa  matokeo  ya  majimbo  mengine 10Majimbo  hayo  ni  Bumbuli, Kibaha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo Rasmi ya Ubunge Kwa Majimbo 18 Mengine Yaliyokwishatangazwa Hivi Punde

Mheshimiwa Wiliam Lukuvi katetea kiti chake cha ubunge.Jimbo la Sumbawanga Mjini: Aeshi Hilaly wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 41763, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Ikuwo Malila wa Chadema,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri watano chali

Ni Wasira, Kebwe, Kilango, Mwanry, Chiza na wabunge wengine kama Vicent Nyerere Mawaziri watano wa Serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi majimboni mwao, sambamba na wagombea wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:SAED KUBENEA ASHINDA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO

Saed Kubenea ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo baada ya kuvuna kura 87,666 na kumwacha kwa mbali mpinzani wake ambaye alikuwa anashangilia toka jana kuwa ameshinda, Didas Masaburi aliyepata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Matokeo Rasmi ya Urais kwa Mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi...

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.Tembelea  ukurasa huu mara kwa mara  kwa updates zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Augustine Mrema Ndio Basi Tena ..Mbatia atwaa Vunjo, Komu mshindi Moshi Vijijini

By auli Giliard/Louis Kolumbia, Mwananchi DigitalTume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Instagram waifungia akaunti ya Idris Sultan, aeleza kilichosababisha

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan.Idris ameimbia Bongo5 kuwa hatua hiyo imekuja baada ya kuvunja masharti ya mtandao huo.Amesema anadhani sababu za kufungikiwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Parents, This is What your Daughters Were Doing over the Weekend, Shocking...

While majority of parents are busy warming up their beds, their daughters are wasting their lives in clubs in the name of partying and having a good time.The way they dress to these clubs leaves more...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Read What Ne-Yo And Alicia Keys' Husband Said About Diamond Platnumz After...

American music star Ne-Yo has joined various international music celebs to congratulate Tanzania's Diamond Platnumz for his wining as best worldwide act: Africa/India at the 2015 MTV Europe Music...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabula Ashinda Ubunge Jimbo la Nyamagana..Amgaragaza Vibaya Ezekiel Wenje

By Louis Kolumbia/Sauli Giliard Mwananchi DigitalDar es Salaam.  Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stanslaus Mabula ametangazwa mshindi wa mbio za ubunge katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkoa wa Kilimanjaro Wavunja Rekodi ......Majimbo 7 kati ya 9 Yanyakuliwa na...

Mkoa wa Kilimanjaro, umevunja rekodi ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya upinzani kunyakua majimbo saba kati ya majimbo tisa.                           BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live