Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

BREAKING NEWS:SAED KUBENEA ASHINDA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO

$
0
0


Saed Kubenea ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo baada ya kuvuna kura 87,666 na kumwacha kwa mbali mpinzani wake ambaye alikuwa anashangilia toka jana kuwa ameshinda, Didas Masaburi aliyepata kura 59,514.

Pamoja na Masaburi kujitangazia matokeo toka jana mitaani, hakuonekana katika eneo la kujumuisha kura na mpaka matokeop yanatangazwa muda mchache uliopita hakuwepo na hakusaini fomu za matokeo.


Chanzo:ITV

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles