Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13.Tofauti na ilivyokuwa kwa mgombea Urais...
View ArticleTaarifa Kwa Vyombo Vya Habari kutoka CCM Kuhusu Zoezi Zima La Kupiga Kura
CCM inafuatilia kwa karibu zoezi zima la uchaguzi kote nchini. Leo, tarehe 25.10.2015, saa kumi alasiri, CCM itafanya mkutano na waandishi wa habari. Hata hivyo, kabla ya hapo, tunapenda kuelezea...
View ArticleTaarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Unaoendelea-...
1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka. 2. Suala la watu wenye kadi...
View ArticleTuhuma za Kura FEKI Moshi na Pemba
Hii imeripotiwa kutokea MoshiHii imeripotiwa kutokea Pemba Chanzo:Mpekuzi blog
View ArticleVibanda vya Mama Lishe na Mitumba Vyachomwa Moto Mkoani Njombe......Polisi...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.Hata hivyo, kikosi cha Zimamoto mkoani humo kimefanikiwa...
View ArticleSIKU YA KUMJUA MSHINDI WA URAIS NA SIKU YA KUAPISHWA HII HAPA
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jji Mstaafu, Damian Lubuva akizungumza na wanahabari juu ya mambo yahusuyo tume hiyo.TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mshindi wa kiti cha urais...
View ArticleMABOMU YA MACHOZI YARINDIMA MWANZA KUWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA WALIOINGIA...
Polisi mkoani Mwanza jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema walioingia mitaani kushangilia wakiamini wagombea wao wanaongoza katika matokeo ya...
View ArticlePICHA 7 ZA UKUMBI UTAKAOTUMIWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTANGAZA MATOKEO...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
View ArticleMatokeo ya Awali Ya Uraisi kujulikana LEO saa Nne Asubuhi
Tume ya uchaguzi itatangaza matokeo ya Urais leo Saa Nne asubuhi, Saa Saba mchana na miwsho Saa Kumi jioni, hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Bw. Ramadhani....,.Stay tuned!!
View ArticleWagombea wa CHADEMA walioandika UPDATES za Uchaguzi Majimboni mwao kwenye...
Hawa ni baadhi yawagombea walioandika hali ya matokeo kwenye kurasa zao katika mitandao ya Kijamii;-Mh.Joshua Nasari wa Jimbo la Arumeru Mashariki yeye alikuwa anatetea Jimbo lake kaandika haya;-''Josh...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleZanzibar: Vijana Wawili Wapigwa Risasi Na Vikosi Vya Usalama
Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, taarifa ni kwamba wamepokelewa watu watatu waliojeruhiwa, wawili kati yao wakiwa wamepigwa risasi ambapo mmoja tayari anafanyiwa operesheni baada ya risasi kupitia...
View ArticleHABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO
HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAZIMBU SOKONI KARIBU NA MAHAKAMA PIGA +255 717 344 281+255 765...
View ArticleKARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO NA HABARIKA BLOG BEI ZETU NI NAFUU SANA
HABARIKA BLOG Audience: Readers of our blog 1,189,147DemographicsThe targeted audience is aged between 18 and AboveHabarika blog is read in 130+ countries, but the targeted audience are the residence...
View ArticleMatokeo rasmi ya Urais majimbo mengine mawili ya Malindi na Kwahani kutoka ZEC
Matokeo rasmi ya Urais majimbo mengine mawili ya Malindi na Kwahani kutoka ZECJimbo la MalindiACT - 4TADEA - 3ADC - 10FP - 6CCK - 3CCM - 2,334CHAUMA - 7CUF - 5,667MAKINI - 3JAHAZI -2NRA - 0TLP - 1SAU -...
View ArticleSwizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za...
Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi.Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA....
View ArticleBREAKING NEWS : MAGUFULI AONGOZA MATOKEO YA AWALI..YAONE HAPA -
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na...
View ArticleUchumba wa Jack Wolper Wavunjika
ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo...
View Article