Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

NEC Imetangaza Matokeo Katika Majimbo Mengine 10......Mpaka sasa Magufuli Anaongoza Katika Majimbo 9 Huku Lowassa Akiongoza Manne

$
0
0

Tume  ya taifa  ya Uchaguzi  imeendelea  na  zoezi  la  kutangaza  matokeo  ya  Urais  ambapo  jioni  hii  imetoa  matokeo  ya  majimbo  mengine 10

Majimbo  hayo  ni  Bumbuli, Kibaha  Mjini,Chambani,Mtambile,Nsimbo,Ndanda,Kiwani,Kiwengwa

Idadi  hii  imetimiza  idadi  ya  majimbo 13  ukijumulisha  na  yale  matatu  yaliyokuwa  yametangazwa  leo  asubuhi.

Katika  majimbo  haya, Magufuli  ameshinda  majimbo 9  na  Lowassa  ameshinda  majimbo Manne

Matokeo  Yote  Yako  Hapo  Chini. Bonyeza  Picha  Kuyaona  Vizuri









Mpekuzi blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles