Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Updates Za Matokeo Malimbali Ya Ubunge na Udiwani Hizi Hapa....Karibu Sana...

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa  na  Wakurugenzi  wenye  dhamana  hiyoTembelea  Habarika Blog mara kwa mara  kwa updates...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:HALIMA MDEE AIBUKA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Mbunge mteule wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee;ALIYEKUWA mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo Halima James Mdee ametangazwa kuwa ndiye Mbunge mteule wa Jimbo hilo baada ya Kumshinda mgombea wa CCM, Kipi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Floyd Mayweather atumia $3,498,000 kununua Bugatti Veyron Grand Sport

Bondia mwenye rekodi ya kutopigwa Floyd Mayweather bado jina lake linatumika kupamba headlines mbalimbali katika mitandao mbalimbali duniani. Stori kutoka kwa promota wa bondia huyo zilizotoka October...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Batuli, Wema Hawaivi Tena!

Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko nyuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA DIAMOND KUCHUKUA TUZO YA MTV DAVIDO,NEYO WANENA HAYA

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDISHARE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABDALLAH MTOLEA WA CUF AMNG'OA MTEMVU UBUNGE JIMBO LA TEMEKE

Jimbo la Temeke: Abdallah Mtolea wa CUF, ameshinda kwa jumla ya kura 103231 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Abas Mtemvu, aliyepata kura 97555Mkoani Rukwa katika Jimbo la Kalambo: Kandege Sinkamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maneno ya mchekeshaji Kingwendu baada ya kushindwa Ubunge Kisarawe

Mwigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania ambao walichukua headlines za kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu 2015 ambapo wengine ni pamoja na Afande Sele, Professor Jay na Mwigizaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULINDE AMANI TUNAPOENDELEA KUPOKEA MATOKEO.

Ndugu watanzania wenzetu, tunapenda kuwapongeza kwa kumaliza mchakato wa kampeni za vyama vya siasa na wagombea  kwa amani na utulivu. Vile vile tunawapongeza kwa kupiga kura kwa kwa amani na utulivu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YALAANI MAALIM SEIF NA CUF KUTANGAZA USHINDI

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kitendo cha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangaza mshindi kinyume na sheria ya Uchaguzi huku ikiishangaa Tume ya Uchaguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AAMUA KUWACHAFUA VIONGOZI HAWA KUPITIA INSTAGRAM

 Mwana Dada Mlimbwende wa Bongo Muvi kwa jina Wema Issack Sepetu ametumia akaunti yake ya Instagram kufikisha Ujumbe kwa Watanzania kwa njia ya picha ambayo ina maelezo matatu.Nisinge penda Kuongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kafulila aandika ujumbe mzito kwenda kwa Tume ya Uchaguzi

"TUME INATAKA KUNIHUJUMU KIGOMA KUSINI.Kwanza Mkuu wa Mkoa Kigoma Kanali Issa Machibya na Mkuu wa Wilaya Mrisho Gambo walifanya kampeni kubwa na vitisho kwa wananchi wakitumia polisi.Pamoja na hujuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ: PROFESA JAY ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Joseph Haule (Mbunge mteule Jimbo La Mikumi)MATOKEO HAYA NI KWANUJIBU WA AKAUNTI YA UCHAGUZI MKUU YA TWITTERMatokeo ya Urais, Magomeni(Zanzibar) Kura: 9,772 @MagufuliJP (CCM):5,716 @edwardlowassatz...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN TANZANIA STATEMENT ON TANZANIA GENERAL ELECTIONS 2015

UN Resident Coordinator, Alvaro Rodriguez.Dar es Salaam, 29 October 2015: The United Nations is following very closely the Tanzanian general elections of 25 October and congratulates the president...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA IJUMAA,OKTOBA 30,2015-UDAKU,MICHEZO NA HARD NEWS

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . chanzo-Millardayo.com

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyama 6 Yyamtaka Mwenyekiti ZEC Ajiuzulu......Maalim Seif atoa Wito kwa Rais...

Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Alivyomkaribisha Kumpongeza Dk. Magufuli Baada ya Matokeo ya...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO NA HABARIKA BLOG BEI ZETU NI NAFUU SANA

HABARIKA  BLOG Audience: Readers of our blog 1,205,170DemographicsThe targeted audience is aged between 18 and AboveHabarika blog is read in 130+ countries, but the targeted audience are the residence...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live