Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HONGERA SANA JULIETH USIKU WAKO ULIKUA WA KIPEKEE

Hngera sana julieth kwa hatua uliyofikia mda sio mrefu utakua kwa mumewe Umenogaa sanaaaBOFYA HAPA KUONA PCHA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ: TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAUKUMBA MIKOA YA MWANZA NA KAGERA

Tatemeko la ardhi limetokea mkoani Kagera leo mchana na kuacha wakazi wa mkoa huo katika hari ya taaruki. Kwa taarifa za mwanzo zinasema nyumba nyingi zimebomoka na hata nyingine kuachwa na nyufa. Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uteuzi wa Rais Magufuli wa wakurugenzi wa wilaya leo hii. Hudson Kamoga wa...

Taarifa iliyotolewa leo september 10 2016 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua  Eliya Mtinangi Ntandu kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ruby amjibu Diva baada ya kudai kuwa hamfahamu

 Ruby amefunguka na kusema kuwa kauli aliyoitoa mtangazaji huyo anaiona ni kama utoto. “Naona ni ujinga, I don’t want to talk about it, naona ni utoto sidhani kama ninaweza kuliongelea hilo.”“Everybody...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwimbaji Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu...Yadaiwa...

Kipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni... Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zari Awaponda Wanawake Nyaku Nyaku...Atupa Jiwe Gizani na Kujibiwa Hivi

Zari Hassan amechukizwa na wanawake wanaopenda kunyakua nyakuwa wanaume wa wenzio na hapa ameamua kutupa jiwe gizani....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya Septemba 10,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AINGILIA BIFU YA MAN FONGO NA MAMA YAKE,ADAI HAMJUI MAN FONGO

Leo ni siku ya 3 ya muendelezo wa sakata zito ambalo lime make headlines kinoma katika mitandao ya kijamii.Ni sakata linalo muhusisha mama mzazi wa mwanadada Wema Sepetu na msanii mchanga ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE KIUNO ATOBOA SIRI JINSI ALIVYOWEZA KUREKODI VIDEO AKIWA BILA KUFULI

Shilole Afunguka 'Sitaki Mzee Nitamburuza, Nahitaji ‘Dogo Dogo’ Ili Anipetipeti'Mwanamuziki wa Bongo flava ambaye anavibwanga kila siku kwenye mitandao ya kijamii kwa skendo ya k..Mwanamuziki wa Bongo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GIGY MONEY ACHEZEA KICHAPO,NI BAADA YA KUFUMANIWA NA MCHUMBA WA MTU

Baada ya kurukaruka na wanaume tofauti, hatimaye msanii na Video Queen Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, amejikuta akichezea kichapobaada ya kufumaniwa akiwa na mchumba wa mtangazaji wa Choice FM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumapili ya Septemba 11,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetemeko Lililotokea Jana Katika Mikoa Ya Kanda ya Ziwa Limeua Zaidi ya Watu...

Tetemeko  la ukubwa wa mtikisiko wa kipimo cha Ritcher 5.7 limetokea katika mikoa mitatu nchini na watu zaidi ya 10 wamekufa na wengine 120 wamejeruhiwa huku majengo mengi yakibomoka.Mikoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Swala Ya Eid Kuswaliwa Bakwata Makao Makuu Kinondoni Jijini Dar Es Salaam

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majina ya Wanafunzi waolichaguliwa Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE

Walioomba Diploma na vyeti  kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.==> Bofya hapa  kuangalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Kudaiwa Anavaa Cheni Feki..Jack Wolper Aonyesha Cheni zake za Dhahabu

Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amewaziba mdomo wanaomsema anavaa cheni fake za dhahabu.Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na Harmonize, amesema kwa sasa hataki kuonyesha vitu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zari Hassan na Huddah Katika Bifu la Kumgombania Diamond Baada ya Zari Kutupa...

Baada ya Zari Hassan kupost Kwenye Page yake ujumbe tata ambao unawagusa wanawake wanao nyakua nyakua waume za watu kwa siri siri , Ujumbe huo inaonekana umewagusu baadhi ya wadada wa mjini na kuhisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakenya Wasimama Kidete Kumtetea Huddah Baada ya Kuingia Kwenye Bifu na...

Wakenya wamekuja juu baada ya Dongo la Zari Kumpata Huddah Kuwa ni Nyaku Nyaku, Inasemekana Diamond yupo nchini Kenya ambapo ameenda kupiga Show Mombasa, sasa wadaku wa Kenya wanasema hiyo ndio sababu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTANI TOKA KENYA

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4. Ati(house)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Mtangazaji Mchafu Zaidi Duniani

Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea dunianiRaphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara kwa mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii wa Bongofleva Rayvanny Avurugwa na Shepu ya Snura Kitandani Wakati wa...

Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani.Akipiga stori na eNewz Rayvanny...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live