Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Majina ya Wanafunzi waolichaguliwa Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE

$
0
0

Walioomba Diploma na vyeti  kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.

==> Bofya hapa  kuangalia  <<Selection Status >> 

NB:  Tumia username yako na password

==> Kwa wale Form six walioomba kupitia TCU, Selection zilikuwa zinaonekana kupitia   http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results, lakini kwa sasa link imekuwa deactivated na wame iredirect  kwenye homepage ya CAS ya TCU ( http://cas.tcu.go.tz/)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles