Diddy aongoza tena orodha ya mastaa wa Hip Hop matajiri Duniani
Forbes wametoa orodha mpya ya mastaa was Hip Hop matajiri zaidi duniani. Bosi wa lebo ya Bad Boy, Diddy bado anaendelea kuongoza orodha hiyo kwa kuingiza kiasi cha dola milioni 62 katika kipindi cha...
View ArticleBREAKING NEWZZ : MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS WAPATA AJALI MTWARA
Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba ukitokea Ikulu ndogo ya Rais ,mkoani Mtwara, umepata ajali na...
View ArticleOperesheni Dadapoa, Kakapoa Dar es Salaam Yashika Kasi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linafanya operesheni ya kuwakamata wamiliki wa nyumba za kulala wageni wanaofanya biashara kinyume cha sheria.Taarifa iliyotolewa na Kamishna wa...
View ArticleMama Wema Afunguka kuhusu Beef yake na Man Fongo
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa nyimbo za singeli, Man Fongo.Sasa hapa tumefanikiwa kuipata video ikionesha Mama Wema akieleza tofauti...
View ArticleMambo 10 Ambayo Mwanaume Hupenda Kusikia Toka Kwa Mpenzi Wake
10. Kukosolewa – “I think you are wrong”Wanaume wanaweza kujikweza sana lakini daima hawachukii kurekebishwa. Wanachojali zaidi ni jinsi gani au njia gani imetumika kuwarekebisha. Mwanaume akikosea,...
View ArticleFamilia ya bilionea Msuya yataka usimamizi wa mirathi
Na JANETH MUSHI, ARUSHAWAKATI mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Msuya akisota rumande kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake, Aneth Msuya, wanafamilia ya bilionea huyo wamefungua kesi katika...
View ArticleShilole Atoboa Siri ya Kupenda Vijana Wadogo
Mwanamuziki wa Bongo flava ambaye ana vimbwanga kila siku kwenye mitandao ya kijamii kwa skendo ya kutoka na vijana walio chini ya umri wake amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa...
View ArticleDiva adai hamjui Ruby ‘Simjui na sijawahi kumsikia’
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ ambaye haishi vimbwanga, Alhamisi hii amefunguka kwa kudai kuwa hamjui msanii, Ruby ambaye aliwai kufanya vizuri na wimbo...
View ArticleMambo 3 mjasiriamali mdogo wa Tanzania anaweza kujifunza kutoka kwa Kanye West
Kanye West si ni rapper wa Marekani, ana uhusiano gani na mjasiriamali wa Tandahimba? Ni swali ambalo huenda umejiuliza uliposoma tu kichwa cha habari.Ni kweli, Kanye West ni rapper mmoja tu hivi wa...
View ArticleHaya ndio maisha ya Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia
Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana.Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall...
View ArticleMajay Birthday: Lulu amwambia Majay ‘I think sisi ni perfect combo’
Leo ni siku ya kuzaliwa ya CEO wa EFM, Majay, ambapo wadau mbalimbali pamoja na watu wake wa karibu wanamtakia heri ya mafanikio katika maisha yake.Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kuwa kwenye...
View ArticleChid Benz Adaiwa kurudi tena kwenye matumizi ya Dawa za Kulevya
Ni Headlines ambazo zimekuwa zikichukua sura tofauti kwa mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuhusu taarifa za kwamba Chid Benz amerudi kwenye matumizi ya dawa za kulevya.Sasa mengi yamezungumzwa...
View ArticleHamisa Mobetto Hana Tatizo na Uhusiano wa Majay na Lulu, Soma Ujumbe...
Hakuna tena bifu kati ya Lulu na Hamisa Mobetto – angalau kwa kile Hamisa amekiandika kumpongeza mzazi mwenzake.Hamisa amezaa na CEO huyo wa EFM mwenye uhusiano na Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuna...
View ArticleJAMAA ANAYEDAIWA KUWALA URODA WAKE ZA WATU KISHIRIKINA SHINYANGA...
Wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Bugayambele kata ya Kizumbi katika manispaa ya Shinyanga wamemshushia kichapo jamaa anayedaiwa kuwaingilia wanawake nyakati za usiku kisha kufanya nao...
View ArticleMWANAMKE HUNA HAJA YA KUMWACHIA UHURU SHOGA YAKO NA MUMEO, ATAKUSALITI MUDA...
Unapokuta mwanamke au mwanaume anamlaumu mume au mke wake kwa kitendo chake cha kukaa na kuzungumza na mtu wa jinsia nyingine mara kwa mara utasemaje, je utasema ni wivu uliopitiliza ?.Inawezekana...
View ArticleRais Magufuli ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara.Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi...
View ArticleYALIYOJIRI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri wa Habari, Utaamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiwaeleza jambo Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa (Katikati)na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. George...
View ArticleWAZIRI WA AFYA ALIAGIZA BARAZA LA FAMASIA KUHAKIKI VYETI VYA WAUZA DAWA
* Aliagiza Baraza lifanye Operesheni ya kuhakiki Vyeti vya Wataalam wa Dawa (Wafamasia) nchi mzima ili kuthibiti Wauza Dawa Feki.* Alitaka kuwafutia usajili wafamasia wanaouza Dawa za...
View ArticleFAHAMU MAANA YA BRAND NA NAMNA UNAVYOWEZA KUJI-BRAND
Na Lewis Mbonde +255 658 194194Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi kujua...
View Article