Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta
Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu...
View ArticleHivi Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?
Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma..Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa...
View ArticleSurprise ya King kiba Show ya Mombasa Yamtoa Povu Meneja wa Diamond Alusha...
Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surpriseHali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Aongoza Swala Ya Idd El Haji Viwanja Vya Mwembe...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi. Swala ikiendelea.Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake...
View ArticleRais Magufuli Aahirisha Safari Yake Ya Zambia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha ziara yake ya siku tatu Nchini Zambia ambapo pamoja na mambo mengine ilikuwa ahudhurie Sherehe za kuapishwa kwa Rais...
View ArticleKocha wa zamani wa Simba, James Aggrey Siang’a amefariki
Taarifa kutoka Kenya zinasema aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba, James Aggrey Siang’a amefariki Septemba 10, 2016 alfajiri mjini Bungoma baada ya kuugua kwa muda mrefu.Siang’a alikuwa ni miongoni mwa...
View ArticleWatanzania ni wakarimu, nimepata mashabiki wengi – Zahara, model wa...
Model aliyeonekana kwenye video ya wimbo wa Alikiba na Christian Bella, ‘Nagharamia’, Tanasha Oketch maarufu kama Zahara Zaire, amesema tangu video hiyo itoke, amepata mashabiki wengi Tanzania.Akiongea...
View ArticleWatu waamua kulala nje ya nyumba Bukoba baada ya Tetemeko Kutokea kwa Mara ya...
September 10 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha 5.7 na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa ambapo ndani ya saa 24 baadae...
View ArticleWaziri Mkuu Aongoza Wananchi Kuaga Miili Ya Waliokufa Kwa Tetemeko
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumamosi, 10 Septemba, 2016 mkoani...
View ArticleIdriss Sultan na Linah Sanga si Siri Tena..Picha yao Wakiwa Kitandani...
IMEBUMBURUKA!Sexy lady wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, wanadaiwa kuwa ndiyo habari ya mjini kwa sasa kwani penzi lao siyo siri tena. Kwa...
View ArticlePicha ya Mwimbaji Ben Pol na Snura Wakipigana Mabusu Yazua Maswali
New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri...
View ArticleHIKI Ndio Chanzo cha Tetemeko Bukoba
Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.Kwa kuwa kitovu cha tetemeko hilo kiko chini sana ya ardhi (Km...
View ArticleWema Sepetu Huijui Mtwara au Dharau Kwa Wanamtwara?
Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko...
View ArticleTaarifa Rasmi ya Serikali Kuhusu Tetemeko la Ardhi Lililotokea Bukoba
Taarifa Rasmi ya Serikali Kuhusu Tetemeko la Ardhi Lililotokea Bukoba1 Tukio la tetemeko:Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. BOFYA MC DR CHENI BLOG...
View ArticleChina Yakamilisha daraja hili ambalo linapita juu zaidi kuliko
Nchi ya China imezidi kuwa kwenye headlines kwenye ishu za madaraja na kwa taarifa tu ni kwamba katika Top 10 ya madaraja marefu duniani nane yanatoka China na karibu yote yamejengwa mikoa ya mbali...
View ArticleVitambulisho vya Taifa Kubadilishwa kuanzia Jumatano Septemba 14, 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kubadilisha vitambulisho vyote vya zamani ambavyo havina saini, huku ikitarajia kutoa vitambulisho vipya vyenye saini kwa wananchi wote,...
View ArticleRais Kenyatta, Mbowe watoa msaada kwa waathirika wa Tetemeko la Ardhi Kagera
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kumpa pole kufuatia vifo vya watu na madhara mengine...
View ArticleViongozi wa Afrika Mashariki Waigomea Ulaya....Wajipa Miezi Mitatu...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC), imeiomba Jumuiya ya Ulaya (EU), iipe muda wa miezi mitatu kujua hatima ya wao kusaini Mkataba wa Kiuchumi na Jumuia hiyo (EPA).Uamuzi huo ulifikiwa jana Ikulu Dar es...
View Article