Matokeo rasmi ya Urais majimbo mengine mawili ya Malindi na Kwahani kutoka ZEC
Jimbo la Malindi
TADEA - 3
FP - 6
CCK - 3
CCM - 2,334
CHAUMA - 7
CUF - 5,667
MAKINI - 3
JAHAZI -2
NRA - 0
TLP - 1
SAU - 2
DP - 1
Jimbo la Kwahani
CUF 2879
CCM 5960
CCM 5960
Matokeo mengine yataendelea kutangazwa leo kuanzia saa tano asubuhi.
Hadi sasa tayari matokeo ya majimbo manne yameshatolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Tutawaleteeni kadri tutakavyoyapata moja kwa moja kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC) kwenye kituo chake cha kutangaza matokeo Bwawani