$ 0 0 Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.