Hawa ni baadhi yawagombea walioandika hali ya matokeo kwenye kurasa zao katika mitandao ya Kijamii;-Mh.Joshua Nasari wa Jimbo la Arumeru Mashariki yeye alikuwa anatetea Jimbo lake kaandika haya;-''Josh Nassari
MATOKEO ARUMERU;
Kata za Shambarai Burka, Mbuguni, Kikwe, Nkoaranga, Usa River, Poli, Songoro, Seela Sing'isi, Nkoanekoli, Ambureni, Malula, Maji ya Chai, Imbaseni, Kikatiti, Ngabobo, Uwiro, Nkoanrua, - madiwani wa CHADEMA WAMETANGAZWA.
Urais na Ubunge ndo usiseme.,pia kupitia akaunti yeke nyingine Nasari kaandika haya;-''Joshua Nassari

Jimbo lilikuwa na vituo 437, nimeshinda vituo 436. Nimeshindwa kimoja kwa kura 2.
LANDSLIDE VICTORY IN ARUMERU MASHARIKI. Leading in 436 polling stations out of 437.
Ukurasa wa facebook wa Mh.Lwakatare yeye alikuwa anagombea kwenye jimbo la Bukoba Mjini akichuana na mh.Hamis Kagasheki yeye kayaandika haya;-Wilfred Lwakatare
· Edited ·
Na sasa umefika wakati wa mabadiliko kwa WATANZANIA.
Mmeyakubali na TUNAAHIDI kuto waangusha watanzania.
SERIKALI YA WANANCHI WOTE IMEKUJA SASA.
Ahsante wanabukoba kwa kunituma Mimi na madiwani WA UKAWA 10/14. TUTAWATUMIKIA!
#ELIMU#ELIMU#ELIMU, mh.Mch.Piter Msigwa yeye alikuwa anatete Jimbo lake la Iringa Mjini mwenye kayaandika haya kupitia facebook yake;-Peter Msigwa

Iringa mjini MPAKA sasa tuna kata zilizotangazwa rasmi 13 Kati YA 18 , Maana yake tutaunda halmashauri, Asante iringa! Katika Jimbo la Bunda Mjini ambalo lilikuwa linaongozwa na mh.Steven Wasira mgombea wa CHADEMA aliekuwa CCM mh.Esta Bulaya kayaandika haya kupitia akaunti yake ya facebook;-Ester Bulaya
Hakuna kisichowezekana chini ya jua, asante wanabunda,kwakuniamini, hatimaye ameng'oka.mungu wangu asante kwa kunisiimamia. Nimeshinda nasubiri kutangaza rasmi.