PESA ZAWATIA UCHIZI WAREMBO HAWA WABONGO,WAWA JAMVI LA WAGENI
NDANI ya tasnia ya burudani Bongo, kwa sasa imevamiwa na wingi wa wasanii, wauza sura na wanamitindo wapya ambao wamejipatia umaarufu ndani ya muda mfupi hasa kutokana na kukua kwa kasi kwa mitandao ya...
View ArticleHUU NDO MJENGO MKUBWA KULIKO YOTE DUNIANI
Erranean village.Chinese officials have declared the building the world’s largest freestanding building and it took about 3 years for the construction to complete.An artificial sun is built inside the...
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akiwaeleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (Kushoto) Mhe. Ruth Mollel na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu...
View ArticleChristian Bella: Rais Magufuli ananikubali mpaka basi!
Christian Bella ameungana na Mrisho Mpoto kwenye orodha ya wasanii waliopo kwenye playlist ya Rais Dkt John Pombe Magufuli.Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Beatz cha Star TV, Bella alisema Rais...
View ArticleJuma Nature amlaumu TID, ni baada ya kumuokota KR akiwa amelewa chakari
Msanii wa muziki na kiongozi wa Kundi la TMK Wanaume Family, Juma Nature amemtupia lawama mkurugenzi mkuu wa Rada Entertainment TID kwa tuhuma za kumuaribu KR Muller.KR ambaye zamani alikuwa katika...
View ArticleAliyetaka Kupindua Ikulu Afikishwa Mahakamani Kisutu Aliyetaka Kupindua Ikulu...
Aliyetaka Kupindua Ikulu Afikishwa Mahakamani Kisutu
View ArticleMajina ya Watu 4 Matajiri zaidi Tanzania
Uchumi mkubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unategemea zaidi kilimo kwa takriban asilimia 25 ya GDP na asilimia 85 Exports. Aidha, Tanzania ina madini kama dhahabu, almasi, makaa yam awe,...
View ArticleRC PAUL MAKONDA AKANUSA KUTUMA ASKARI KUKAMATA WATU WANAOLALA MCHANA GUEST HOUSE
Akihojiwa kwenye kipindi cha Pb Clouds amesema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu."Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu...
View ArticleShow za Mr Blue Fiesta Wengi Wadai Ndio Msanii Bora wa Tanzania Kwa Sasa.....
Kwa mujibu wa Mrisho Mpoto, Harry Sameer, wamjua zaidi kama Mr Blue, anastahili kuwa msanii bora Tanzania.Mpoto alidiriki kusema hivyo baada ya kushuhudia show ya hitmaker huyo wa ‘Mboga Saba’...
View ArticleMr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana
BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja.Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta...
View ArticleKAMANDA SIRRO AWATOA HOFU WANAPANGAJI WA NYUMBA ZA WAGENI JIJINI DAR
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar Es salaam na wageni wanaoingia jijini wakitokea mikoani kupuuza taarifa za sauti zinazozagaa katika mitandao ya...
View ArticleProfesa Lipumba Asema Hana mpango wa kuhama CUF wala kuanzisha chama Kingine,...
Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kuhamia chama chochote.Aidha amesema hana mpango wa kuanzisha chama chake kwa kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali wa CUF kwa...
View ArticleWakonta Kapunda, Binti Aliyekuwa Akiandika Kwa ulimi, Apata Kifaa cha Kisasa
Wakonta alipata ajali siku ya mahafali yake ya kidato cha sita miaka minne iliyopita. Ajali hiyo ilimuacha akiwa amepooza kwanzia shingoni kushuka chini na kumfanya kutoweza kutumia mkonoWiki kadhaa...
View ArticleHatimaye Mtatiro ‘Amchana’ Prof. Lipumba, Amuita ni Jemedari Aliyekimbia Vita
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba amekiacha chama kwenye wakati mgumu baada ya kujiuzulu wakati wa Uchaguzi...
View ArticlePicha: Ray C Aonyesha Muonekano Wake Mpya
Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameonyesha picha yake ya kwanza toka asaidiwe na jeshi la polisi miezi michache iliyopita baada ya kudaiwa kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya.Jumatano...
View ArticleAunty Ezekiel Afunguka Sababu ya Yeye Kujiachia Enzi Zile
Nyota wa filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka kuwa kipindi cha nyuma kabla ya kuwa na mahusiano na Mose Iyobo na kabla ya kupata mtoto alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki na wala...
View ArticleAJALI MBAYA IMETOKEA JANA ENEO LA PALM BEACH DAR
Kuna ajali imetokea eneo la Palm Beach muda wa saa 12:15 asubuhi ya leo Alhamisi gari aina ya Altezza au Subaru limeharibika vibya maana likiwa vipande vipande kutokana na kugonga nguzo ya taa za...
View Article