Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

RC PAUL MAKONDA AKANUSA KUTUMA ASKARI KUKAMATA WATU WANAOLALA MCHANA GUEST HOUSE

$
0
0


Akihojiwa kwenye kipindi cha Pb Clouds amesema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu.

"Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu wanafanya kazi viwandani wengine usiku hivyo wanahitaji kupumzika mchana huwezi kuwazuia"

Kinachofanyika ni Umbeya, siwezi kujibu hoja za kimbeya ni ujinga ....alimaliza Mh Makonda.!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles