![]()
Kuna ajali imetokea eneo la Palm Beach muda wa saa 12:15 asubuhi ya leo Alhamisi gari aina ya Altezza au Subaru limeharibika vibya maana likiwa vipande vipande kutokana na kugonga nguzo ya taa za barabarani.![]()
Ni kama vile imepigwa Bomu, Sidhani kama kuna mtu katoka salama