Polisi Washuhudia Majambazi Yakitwangana Risasi.......Zakamatwa Shehena za...
WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wa kutumia silaha, ambao wamehusika kufanya matukio mbalimbali ya kihalifu katika mkoa wa Dar es Salaam, wameuawa na majambazi wenzao katika eneo la Vikindu...
View ArticleWizara ya Elimu Yawaasa Vijana Kutumia Elimu Kujiajiri
Na Jacquiline Mrisho-MaelezoSERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imewaasa vijana waliomaliza shule kuacha kujibetweka bali watumie elimu waliyoipata kujitafutia...
View ArticleACT- Wazalendo watoa ufafanusi Kuhusu Taarifa ya Profesa Lipumba Kujiunga na...
Baada ya kumalizika kikao cha kamati kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kilichofanyika leo septemba 05/2016 jijini Dar esSalaamKesho Jumanne Septemba 06/2016,Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo watakutana...
View ArticleWema: Nitalipa Pesa Matibabu ya Baba diamond
Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa
View ArticleTAZAMA MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Baadhi ya Wabunge wakielekea katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleMZAZI FEKI WA MWANAFUNZI ACHALAZWA BAKORA NA WALIMU
Mwanza: Walimu wacharuka, wamtandika mama feki baada ya mwanafunzi kuambiwa alete mzazi akaenda kukodi mama. Mama feki alipohojiwa maswali kuhusu mwanae hana analoelewa ndipo walipo amua kutafuta namba...
View ArticleDIAMOND Platnumz Awashangaza Mashabiki Wake Tena Kwa Kuimba "Remix ya All The...
Diamond Platnumz amejiongezea aka zingine mpya, Jini na Vampire. Jumatatu hii aliachia kipande cha verse kwenye hit single ya Remy Ma na Fat Joe ‘All The Way Up’ kilichoyakuna masikio ya mashabiki wake.
View ArticleFella Agonga Mwamba Kumrudisha Kundini Juma Nature..Asema Haya
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Mkubwa Fella ameonekana kugonga mwamba juhudi zake za kutaka kurudisha mahusiano yake ya kazi na msanii wake wa zamani wa Kundi la TMK Family, Juma...
View ArticleJanga Kubwa Linalowatafuna Wasomi Wengi Tanzania ni Kutegemea vyeti Kama...
Janga kubwa linalowatafuna wasomi wengi ni kutegemea vyeti kama mkombozi wao kiuchumi; badala ya kutegemea uwezo wao kiakili. Ndio maana wakikosa ajira wanachanganyikiwa na wakiwa ajirani...
View ArticleTOP 10 ya wanasoka wanaolipwa mkwanja mrefu
Mtu wangu wa nguvu najua unajua kwamba mchezo wa soka ndio mchezo maarufu zaidi, kama ambavyo ulivyo maarufu na kupendwa na watu wengi ni kawaida kuona wanasoka pia wakilipwa pesa nyingi katika vilabu...
View ArticleMadawa ya Kulevya Yadaiwa Kummaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller alimuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake Kisa...
View ArticleTaarifa ya spika Job Ndugai kuhusu Rais Magufuli kupitisha miswada mitano
Na Eleuteri Mangi-MaelezoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini Miswada mitano kutumika kama Sheria kamili za nchi.Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge la...
View ArticleHali ya soko la filamu za Bongo ni tete
Hali ya soko la filamu za Bongo ni tete, na hakuna mwenye uthubutu wa kutamba tena hadharani kuwa eti sinema za kibongo zinalipa. Je, nani wa kuiokoa Bongo Muvi? Tutajie muigizaji mmoja tu...
View ArticleKARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO HAPA BEI TSH 3,000/= KWA SIKU
LEWIS MBONDE BLOG Audience: Readers of our blog 1,719,291TUNAPOKEA MATANGAZO MBALIMBALI YA BIASHARA MADOGO NA MAKUBWA BEI ZETU NI MOJA TU NI TSH 3,000/= KWA SIKU.TUNAPOST KWENYE BLOG NA...
View ArticleHawa ni mastaa wa US waliodai wataihama nchi hiyo Donald Trump akishinda Urais
Orodha kubwa ya mastaa wa Marekani imeapa kuihama nchi hiyo iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi na kuwa rais.Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama Jon Stewart, Cher,...
View Article