UWOYA, MASOGANGE WADAIWA KUZUA KIZAAZAA KANISANI
Agnes Gerald ‘Masogange’. Akina dada wenye ‘taito’ kubwa Bongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ na Agnes Gerald ‘Masogange’, wanadaiwa kuzua kizaazaa cha aina yake baada ya hivi karibuni kutinga...
View ArticleMZEE AAGIZA AZIKWE HUKU AMEKAA HUKO MASWA
Mzee mmoja huko Wilayani Maswa aliacha wosia kuwa atakapofariki azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa.Watoto na ndugu zake wametekeleza hapo jana baada ya kutengeneza jeneza ambalo lilimfanya mzee huyo...
View ArticleWATU WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI WAUA MLINZI NA KUCHOMA MABWENI MAWILI YA...
Mtu mmoja amekufa kwa kupigwa risasi na wengine wawili kujeruhiwa vibaya baada ya watu wanaodaiwa kuwa ni vikundi vya uhalifu vilivyokuwa na silaha mbalimbali kuvamia mabweni mawili yaliyokuwa na...
View ArticleAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUITA RAIS MAGUFULI KILAZA KWENYE WHATSAPP
ELIZABETH Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa...
View ArticleTCU YATANGAZA KUANZA UDAHILI AWAMU YA PILI KWA WANAFUNZI WANAOJIUNGA VYUO...
Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Hata...
View ArticleRais Magufuli ataka Jecha apewe Tuzo ya heshima, Amtaka Dr Shein,...
RAIS John Magufuli, amemtaka Dk. Ali Mohamed Shein, kumpa tuzo Jecha Salim, mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar, kutokana na kile alichokiita kazi nzuri aliyoifanya visiwani humo mwaka jana, kwa...
View ArticleHatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi
STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la...
View ArticleJe Kuwa MTU Maarufu Kunawezesha Kufanya Kila Kitu Kwenye Tasnia Mbali Mbali?
The industry is too big you cant own it all. The growth of all things depend on focus, persistence and passion and in math we only have 100% to build legacy and less than that to create life...
View ArticleCHADEMA Wagoma Kuhamia Dodoma, Wadai Hawana Mpango Huo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema wazo la kuhamia Dodoma halimo kwenye ajenda zake.Akizungumza na Mwananchi hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji alisema chama...
View ArticleWema Sepetu Atoa Tahadhari Kwa Wabaya Wake
Madam Wema Sepetu amewatumia ujumbe wa tahadhari wabaya wake wanaomfuatilia anga zake.Ni ukweli usiopingika kuwa Wema amekuwa akihangaika mara nyingi huku na kule ili apate mtoto lakini mambo bado...
View ArticleVifaa Vyote vya Freeman Mbowe Vilivyokamatwa Jana na NHC Vitauzwa Baada ya...
VIFAA vilivyokamatwa jana vya klabu ya usiku ya Bilicanas na ofisi ya gazeti la Tanzania Daima, vyote vinavyomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,...
View ArticleNay Wa Mitego amchimba mkwara mume wa Shamsa Ford
Nay Wa Mitego ameonekana kumchimba mkwara mwanaume aliyemuowa aliyekuwa mpenzi wake, Shamsa Ford.Nay na Shamsa walikuwa na mahusiano mwaka 2015 japo mahusiano yao hayakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu...
View ArticleMsanii Mr Blue Acharuka..Kuwachukulia Sheria Naj na Baraka da Prince...
Msanii wa bongo flava Mr. Blue ambaye hivi karibuni alipatwa na msuko suko wa kuyumba kwa ndoa yake, kutokana na kusambaa kwa tetesi za kuwasiliana na ex wake Najma Dartan, amesema yuko tayari...
View ArticleFella kumuachia Temba jukumu la kuisimamia Yamoto Band na ‘Mkubwa na Wanae...
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu.Akiongea na...
View ArticleHII NDIO KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAALIM SEIF KUMNYIMA MKONO RAIS DK SHEIN
RAIS DK MAGUFULI AKIONGEA LEO NA WANANCHI WA UNGUJA JUU YA MAALIM SEIF KUMNYIMA MKONO RAIS SHEINHIVI NDIVYO ALIVYOSEMA“Dk Shein ni mpole sana… Mimi nitoe mkono wangu, uukatae halafu eti kesho nisaini...
View ArticleHATIMAYE MBOWE AELEZA SAKATA LOTE KUMHUSU YEYE NA SHIRIKA LA NYUMBA LA NHC 0
Freeman Mbowe akana kudaiwa kiasi chochote na NHC akisema katika jengo hilo yeye si mpangaji bali ni mmiliki mwenza wa NHC.Alisema anamiliki jengo hilo kwa asilimia 75 tangu mwaka 1997 na kinachofanywa...
View Article