VIDEO: Alichokizungumza JPM Kuhusu Maalim Seif Kukataa Mkono wa Rais Shein
Kituo cha TV cha Azam TV kimeripoti kwamba September 3 2016 Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake visiwani Zanzibar ametoa hotuba ambapo amemshauri Rais wa Zanzibar kuwa mkali zaidi huku akizungumia...
View ArticleHAWA NDIYO WASANII BONGO WANAO ONGOZA KWA KIKI ZA KIMAPENZI
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari’.Wakati Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ anaanzisha uhusiano wa kimapenzi na Zarinah Hassan ‘Zari’, yaliibuka maneno mengi.Picha zilizovuja...
View ArticleKijana Shoga Amtia Doa Mwanamuziki Raymond wa wasafi, Adai Wana Mahusiano
Leo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana huyo...
View ArticleKISA Cha Kusikitisha 'Baba Yangu Alisababisha Nilale na Mjomba Wangu, Kamwe...
Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea.Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara wilaya ya Musoma mjini...
View ArticleMnyamwezi communication Computer Window lnstallation kihonda kwa chambo...
Call +255 716 212 397 for Computer Window lnstallation (xp,7,8,10) with programs Kwa wakazi wa morogoro mjini tunapatikana kihonda kwa chambo flem za kilima kama unaenda youth mission.Karibuni Nyotee
View ArticleWabunge wa Upinzani Kuanza Vikao vya Kutafuta Suluhu na Naibu Spika
Kambi rasmi ya upinzani imepanga kufanya vikao vya kujadili suluhu ya kudumu ya mgogoro na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson uliosababisha wabunge wanaounda Ukawa kususia vikao vinavyoendeshwa na kiongozi...
View ArticleMAUWAJI YA DADA WA BILIONEA MSUYA,MFANYABIASHARA WA ARUSHA APANDISHWA...
Idadi ya washtakiwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya ambaye alikuwa dada wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, Erasto Msuya maarufu bilionea Msuya, imeongezeka na...
View ArticleSir Nature amtupia lawama TID juu ya KR
Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo.Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya busara...
View ArticleRAYMOND NA SNURA MAPYA YAIBUKABAADAYA PICHA HIZI KUVUJA
Staa wa Ngoma ya Chura, Snura Mushi, juzikati alieleza jinsi anavyowewesekea penzi la mwanaume ambaye ni staa mwenzake wa Bongo Fleva lakini hakumtaja. Katika pekuapekua, Wikienda limenyaka jina la...
View ArticleNikki Mbishi ana wimbo uitwao ‘Babu Talent’ aliomdiss Babutale
Kwa muda mrefu, meneja wa Diamond, Babutale amekuwa shabaha ya wasanii wengi wanaomtuhumu kuwa chanzo cha anguko la baadhi ya wasanii nchini. Rappers wengi wamesikika wakimchana meneja huyo kwenye...
View ArticlePapa Francis amtangaza Mother Teresa mtakatifu
Mother Teresa, mtawa wa Kikatoliki aliyeyatumia maisha yake kusaidia maskini nchini India, ametangazwa mtakatifu kwenye misa iliyoongozwa na Papa Francis huko Vatican.Papa alimtangaza mtawa huyo...
View ArticleDaraja la vioo la Uchina kufungwa ili kupisha ukarabati
Daraja la vioo lililojengwa juu nchini Uchina ililosifiwa kwa kuvunja rekodi lilipozinduliwa siku 13 tu zilizopita limefungwa.maafisa wanasema serikali inapanga kufanya ukarabati wa dharura wa eneo...
View ArticleNaibu waziri Tamisemi,Selmani Jafo anusurika kifo ajalini Mbeya
Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya.Ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya kwenda Rungwe na...
View ArticleWazanzibar Waisifia Hotuba ya Rais Magufuli
Baadhi ya wakazi wa Zanzibar wamempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa kutoa hotuba waliyoiita ‘safi’ inayosadifu hali ya maisha ya watanzania.Kwa siku na nyakati tofauti baadhi ya wakazi wa Zanzibar...
View ArticleTAZAMA PICHA MPYA AMBAZO HUKUZIONA ZA HARUSI YA SHAMSA FORD
Beautiful and talented Tanzanian actress Shamsa Ford got married last Friday, she looked gorgeous and she also got great support from fellow celebrities. Here are official wedding pics of the screen...
View ArticleSerikali Yakanusha Taarifa Inayosambazwa Katika Mitandao ya Kijamii Kwamba...
Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na...
View Article