Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege za Kivita Kutawala Anga la Dar Septemba 1

Septemba mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo, matukio hayo ni pamoja na sherehe za miaka 52 ya Jeshi la Wananchi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI NDILO ENEO LITAKALOTUMIKA KUONA KUPATWA KWA JUA KESHO HUKO MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ,Reuben Fune akiangalia jua kwa kutumia kifaa maalum ambacho kinachuja mwanga ili usiweze kuathiri macho kifaa hicho kitatumika katika tukio la kupatwa kwa jua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amthibitisha Bw.gerson Msigwa Kuwa Mkurugenzi Wa Mawasiliano...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemthibitisha Bw. Gerson Partinus Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege za Kivita za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Zikivinjari Anga la...

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na...

Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.Mhariri Mtendaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA TUKIO LA KUPATWA KWA JUA LEO HUKO RUJEWA MKOANI MBEYA LEO,RC WA MBEYA...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Kanali Mstaafu Chiku Galawa pamoja na Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete wakiangalia tukio la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 1,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC PAUL MAKONDA AUNGANA NA JWTZ KUFANYA USAFI DAR

Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa.Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYAMWEZI COMMUNICATION WAUZAJI WA VIFAA VYA SIMU COMPUTER REPAIR,PHONE...

Tupigie 0716212397kihonda kwa chambo,morogoro mjinibarabara ya youth missionflame za kilima

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUA LA PATWA WANGING'OMBE MKOA WA NJOMBE KWA ASILIMIA 98

  HILI NI JUA BAADA YA KUPATWA WAKATI LIKIENDELEA  KUPATWA JUA LILIKUWA LIKIENDA HATUA KWA HATUA WANAFUNZI NA WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUANGALIA TUKIO HILO HII LEO KATIKA KIJIJI CHA LITUNDU KATA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt JOHN MAGUFULI aipongeza JWTZ kwa kutimizia Miaka 52

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAAMA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO AWAMU YA...

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Kuacha Muziki, Mzee Yusufu Kuanza na Hili

Mfalme wa muziki wa taarabu nchini, Mzee Yusufu, ameondoka nchini leo Agosti 31, 2016 kwenda kuhij Makkah ili kutimiza moja kati ya nguzo kuu za dini yake ya Kiislam.Mzee kabla hajakwea pipa, eNewz...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Steve Nyerere Ajigamba 'Mimi Nina Majumba sio Nyumba'

Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanamiliki nyumba nyingi lakini hataki kuzionyesha.Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM Jumatano hii, Steve...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Oktoba Mosi Yaanza Kugombaniwa.......Makonda Aitangaza Kuwa Siku Ya Kupanda...

Siku moja baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuahirisha kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupitia oparesheni walioipa jina la UKUTA ( Septemba Mosi) na kisha kuitaja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Walioficha Mabilioni ya Pesa Nyumbani, Atishia...

Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa kuzipeleka. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Septemba 2, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awasili Pemba Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya Alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Pemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapokezi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Yaahirishwa Hadi Vikao vya Bunge Viishe

SERIKALI Mkoa wa Dodoma imesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahamia rasmi mkoani humo mara baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge vinavyoanza wiki ijayo, Septemba 6.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUBWA FELLA AZIWEKA HADHARANI NYUMBA TANO ZA KIKUNDI CHA YAMOTO BAND

Nyumba za Wasanii wa Yamoto Band zikionekana kwa muonekano wa nje.Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Saidi Fella akikagua kwa ndani nyumba za wasanii hao zilizojengwa nje ya mji Eneo la Mbande...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live