
RAIS DK MAGUFULI AKIONGEA LEO NA WANANCHI WA UNGUJA JUU YA MAALIM SEIF KUMNYIMA MKONO RAIS SHEIN
HIVI NDIVYO ALIVYOSEMA
“Dk Shein ni mpole sana… Mimi nitoe mkono wangu, uukatae halafu eti kesho nisaini makaratasi yako…? Si rahisi sana!” Rais Magufuli
Chanzo:The choice blog
Chanzo:The choice blog