Peter Okoye atangaza kurejea kwa P-Square, wamrudisha kaka yao kama meneja
Baada ya miezi kadhaa ya mfarakano wa ndani kwa ndani, kundi la P-Square limerejea. Member wa kundi hilo, Peter Okoye ametangaza kuwa wamemaliza tofauti zao na yote yaliyopita wameyaacha yapite. Peter...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YAMTIA HATIANI MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA...
Ulinzi wa polisi viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa leo kabla ya mtuhumiwa wa mauwaji kufikishwa. Wananchi wakiwa foleni kukaguliwa kabla ya kuingia mahakamani leo. Mtuhumiwa...
View ArticleNoti na Sarafu za Shillingi 500 zatoweka
NOTI na sarafu ya Sh 500 zimeadimika kwenye mzunguko wa fedha kwa zaidi ya mwezi sasa, hali inayosababisha adha kubwa kwa wafanyabiashara,imefahamika.Wakizungumza kwa nyakati tofauti mwishoni mwa...
View ArticleMshtakiwa wa Kuiba Milioni 7 kwa dakika Aongezewa Kesi Nyingine
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo inatarajiwa kuwapandisha kizimbani wafanyabiashara wawili akiwemo Mohamed Mustafa Yusufali ‘Choma’ aliyewahi kutajwa kuwa anajipatia Sh milioni...
View ArticleMchungaji Anthony Lusekelo Adai Lowassa ni Tishio CCM......Asema Uchaguzi...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu ‘Mzee wa Upako’ amesema kitendo cha viongozi wa CCM kulitaja zaidi jina la Edward Lowassa katika Mkutano...
View ArticleMakongoro Nyerere Anusurika Ajalini....
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere amenusurika katika ajali baada ya gari lake kuwagonga ng’ombe saba kwenye eneo la Makatanini, Babati mkoani Manyara.Mtoto huyo wa Baba wa Taifa,...
View ArticleKikwete: Nashukuru Mungu Kwa Kuutua Mzigo Salama Huku Nikiiacha Nchi Ikiwa...
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi ikiwa salama tulii kabisa.Amesema kuwa safari yake ya urais ilianzia...
View ArticleBREAKING NEWZZ:Koffi Olomide ahukumiwa kifungo cha miezi 18 jela
Mwanamuziki maarufu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Koffie Olomide, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela.Koffi akiwasili kwenye gereza la Makala, Kinshasa kutumikia kifungoHukumu hiyo imekuja...
View ArticleAliyebikiri wasichana 104 Malawi agundulika na ngoma na kukamatwa
Eric Aniva aliyeripotiwa wiki iliyopita huwa huingiza fedha kwa kazi ya kuwabikiri wasichana nchini Malawi amekamatwa na polisi nchini humo.Aniva ambaye ni maarufu kwa jina la Fisi, hulipwa kiasi cha...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR BOOKING MC KENYATTA
BOOK NOW MC KENYATTA CALL +255 658 194 194BOOK NOW MC KENYATTA CALL +255 658 194 194BOOK NOW MC KENYATTA CALL +255 658 194 194BOOK NOW MC KENYATTA CALL +255 658 194 194
View ArticleCALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194 FOR BOOKING MC DR CHENI
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis Mbonde
View ArticlePIGA +255 717 344 281 AU +255 784 732 242 KUPATA HUDUMA YA DR MNINDO NI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL +255 658 194 194 KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA BEI ZETU NI NAFUU SANA
LEWIS MBONDE BLOG Audience: Readers of our blog 1,609,556TANGAZO KUBWA LA JUU TOP AD BANNER 100,000/= KWA MWEZITANGAZO SIZE YA KATI LA PEMBENI SIDER BANNER 80,000/= KWA MWEZITANGAZO DOGO 50,000/= KWA...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LEWIS MBONDE IT & BUSINESS CONSULTANCY BLOG...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO)...
View ArticleBASI LA UDA LAGONGA TRENI ENEO LA GEREZANI – KARIAKOO JIJINI DAR
Ajali imetokea usiku wa leo kati ya treni na basi la Uda linalofanya safari zake kati ya Kariakoo na Mbagala na kuua mtu mmoja na wengine zaidi ya 45 kujeruhiwa.Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
View ArticleMawakili zaidi ya 100 Waandamana kudai haki
MAWAKILI wa kujitegema zaidi ya 100 mkoani Arusha, jana waliandamana kwenda kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, kulaani kile walichokiita ukandamizwaji wa sheria za nchi na kazi ya...
View ArticleAliyekuwa Akiibia Serikali Milioni 7 Kwa Dakika Asomewa Mashitaka Mapya 222
WAFANYABIASHARA wawili, akiwemo Mohamed Yusufali “Choma”, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka 222 ya kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh...
View Article