Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFANIKIO YA RAIS MAGUFULI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 8 ILIYOPITA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 23/06/2016UTAFITI MIEZI 8 TOKA MHE RAIS JOHN MAGUFULI AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANdugu waandishi wa habari habari za leo na pole kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katuni 8 Nzito Jumapili Hii-SIASA

    

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIPUKO WAUA WATU 80 AFGANISTAN

     Wizara ya afya nchini Afghanistan imesema takibani watu 80 wameuawa na zaidi ya wengine 150 kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanyika kwenye Mji Mkuu Kabul.Baadhi ya taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 25,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Josephat Gwajima Amjibu Yusuf Makamba Kistaili.....

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa na siyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Yasema Trafiki Aliyeuwawa Kijitonyama sio Yule Mwenye Mbwembwe

Usiku wa July 22 2016 ilisambaa taarifa ya kupigwa risasi Askari wa kikosi cha usalama barabarani wa kituo cha Polisi Oysterbay Kinondoni Dar es salaam ambapo alipigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gigy Money, Idris Mahaba Niue!

IMEVUJA! Baada ya hivi karibuni penzi la Wema Sepetu na Idris kusambaratika, mwanadada Gift Stanford ‘Gigy Money’ amedaiwa kuchukua nafasi na sasa ni mapenzi motomoto.Chanzo makini kililiambia gazeti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI Babu Seya Hali yake Kiafya Yawa Mbaya..Apelekwa Muhimbili...

Mwanamuziki nguli nchini anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anadaiwa yu taaban ambapo amekimbizwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa matibabu.Mwandishi wetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaka‬ wa Rais ‪Obama‬, Malik Obama Atoa Sbabu Sita za Kumuunga Mkono ‪Donald‬...

Malik Obama is disappointed with his brother President Barack Obama so much that he has opted to support Donald Trump whom he will vote for come November 8th.President Obama’s Kenyan half-brother Malik...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole awatoa udenda mashabiki wake baada ya kuwapa nafasi ya kushika kiuno...

Msanii wa muziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewatoa udenda wakutosha mashabiki wa muziki wake hivi karibuni baada ya kuwapa nafasi ya kushika kiono chake.Shilole akiwa jukwaaniMuimbaji huyo ambaye kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Majaliwa Asema atahamia Dodoma mwezi wa tisa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametii lile agizo la viongozi wote kuhamia mjini Dodoma huku akisema yeye atakuwa wa kwanza kuhamia huko.Ameyasema hayo Jumatatu hii katika maadhimisho ya kuwakumbukua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Davido asaini mkataba mwingine na RCA Records

Bosi wa lebo ya DMW, Davido amesaini mkataba mwingine na label ya RCA Records.RCA Records inawasimamia wasanii wakubwa wakiwemo ASAP Ferg, ASAP Rocky, Alicia Keys, Aretha Franklin, Zayn Malik, Usher,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku ya Mashujaa: Rais Magufuli asisitizia ulazima wa serikali kuhamia Dodoma

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesisitizia kwa mara nyingine tena azma yake ya kuhakikisha kuwa makao makuu ya serikali yanahamia mkoani Dodoma.Akihutubia kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zambia yakanusha kumzuia Koffi Olomide kufanya maonyesho

Baada ya kuzagaa kwa tetesi ya kuwa Koffi Olomide amekufutiwa maonyesho yake nchini Zambia kutokana na tukio la hivi karibuni la kumpiga dansa wake aitwaye Pamela, Taasisi ya Kilimo na Biashara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wolper Mashabiki wamuita ‘Yuda Iskarioti’

Jacqueline Wolper, muigizaji aliyejipatia umaarufu mwaka jana kwa kuwa bega kwa bega na aliyekuwa mgombea urais kupitia tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND ADAIWA KUWA ANACOPY NA KUPASTE SIRI IMEFICHUKA,,ATAADHARISHWA MAPEMA

Video ya Diamond Kidogo.Na Saleh AllyGAZETI la Championi lilianza kujulikana kabla ya ujio wa Nasibu Abdul ‘Diamond’. Ninaamini litaendelea kubaki nikiwa ninamaanisha hivi, ataliacha likiendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA KOFFI OLOMIDE KUMPGA DANSA WAKE NA KUTIMULIWA KWAKE NCHINI KENYA...

Koffi Olomide akimpiga mnenguaji wake.Na Andrew CarlosAMEVUNA alichopanda! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya wikiendi iliyopita ndani ya Kenya kutawala kwa sakata jingine la mwanamuziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWASIHI WATANZANIA KUDUMISHA AMANI, UMOJA NA UTULIVU ASISITIZA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma mapema leo asubuhi waliojitokeza kushuhudia maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA DODOMA LEO

 Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashabiki wazishtukia picha za Temba zinazomuonyesha amefunga ndoa

Mashabiki wa muziki katika mitandao ya kijamii wazipokea kiutofauti picha zinazomuonyesha msanii wa muziki kutoka TKM Wanaume Family, Temba akiwa amefunga ndoa.Temba akiwa na mrembo kutoka Afrika...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live