Jakaya Kikwete: Mtu uliwahi kuwa Waziri Mkuu, sasa unagombea Uenyekiti wa...
Mwenyekiti anayestafu wa CCM naona katupa jiwe gizani kwa Sumaye. Baada ya kushangazwa na hatua yake ya kugombea uenyekiti wa wilaya Kibaha (Chadema) huku aliwahi kuwa waziri Mkuu..Je Una Maoni gani?...
View ArticleSentensi Tano za Yusuph Makamba Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM
Leo July 23 2016 Mjini Dodoma unafanyika mkutano mkuu maalum wa CCM ambao ajenda yake kubwa ni ya kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa mwenyekiti wa tano wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’. Baada ya hotuba...
View ArticleMzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Achaguliwa Rasmi Kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa
Mwenyekiti aliyemaliza Muda wake Dkt Jakaya Kikwete pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli wakiwapungia mkono Wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum mara baada ya...
View ArticleMagufuli Amteua Kinana Kuwa Katibu Mkuu CCM Licha ya Kuomba Kujiuzulu
Mwenyekiti mpya wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli amemteua ndugu Abdulrahman Kinana kuendelea na nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama hicho, licha ya Kinana kuomba kujiuzulu nafasi hiyoNini maoni yako...
View ArticleZitto Kabwe afunguka haya baada ya Rais Magufuli kukabidhiwa uenyekiti wa CCM
Leo July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna...
View ArticleKikwete amkabidhi Magufuli 'majipu' ndani ya CCM
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Dkt Jakaya Kikwete, amekabidhi nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa Dkt John Pombe Magufuli, huku akimtaka kushughulikia baadhi ya mapungufu yanayokitia hasara chama ikiwemo...
View ArticleNtahakikisha Serikali inahamia Dodoma :Rais Dkt.Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema katika kipindi cha uongozi wake atahakikisha Serikali inahamishia makazi yake mjini Dodoma.Amesema hayo leo, wakati alipokuwa...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR BLOG DESIGNING,BLOG MODIFICATION, LOGO...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO)...
View ArticleMSANII WOLPER AACHANA NA CHADEMA
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi janaWolper alikaribishwa na mwenyekiti...
View ArticleWASANII:TUTAKUKUMBUKA SANA JK
Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama...
View ArticleWanafunzi wa Kiume Wavaa Sketi Shuleni Kupinga Adhabu ya Mwalimu Wao
Wavulana wanne katika shule moja nchini Uingereza wamefika shuleni wakiwa wamevaa sketi kwa muda wa siku mbili kulalamikia hatua ya mwalimu kuwaadhibu kwa kuvaa kaptura siku yenye joto kali zaidi...
View ArticleMsindai : Nimerudi CCM Kwa Kuwa Sasa Hakuna Cha Kupinga
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na CHADEMA, Mgana Msindai ametangaza kurudi CCM.Msindai alitangaza uamuzi huo jana mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na...
View ArticleKauli ya CHADEMA baada ya wanachama wake kutangaza kujiunga CCM
Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM jana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kiliwapoteza wanachama wake watatu baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).Wanachama...
View ArticleLULU:Mimi na Mama Kanumba Tupo Vizuri!
STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama Kanumba, Flora Mtegoa kuwa...
View ArticleNilitaka kumkumbusha Babutale asisahau alikotoka – Roma (Video)
“Bosi kagamnda Dangote kaisahau Tip Top,” ni mstari wa Roma kwenye wimbo wake mpya ‘Kaa Tayari’ uliogeuka kuwa maarufu zaidi. Ni mstari uliomlenga meneja wa Tip Top, Babutale ambaye miaka ya hivi...
View ArticleBabutale asikilize maneno ya watu kuhusu Tip Top – Madee
Rapper Roma Mkatoliki aliiibua suala la meneja wa Tip Top Connection, BabUtale kutumia muda mwingi kwa kazi za Diamond na kusahau chimbo lake la zamani. Madee ameibuka na kusema ‘lisemwalo lipo, kama...
View ArticleTAZAMA VIDEO SHILOLE KIUNO AKIONGEA KINGEREZA NA MWALIMU WAKE
Lugha ya Kingereza imekuwa shida sana kwa wasanii wengi hapa Bongo lakini mwanadada mrembo Shilole ameamua kuweka aibu pembeni na kujifunza lugha hiyo huko akifanya mizaa kupitia mdandao wa...
View Article