WANAUME TU: TYPE HII YA WANAWAKE USIBONYEZE...NI SHIDAAA AISEEE...!
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 1.Demu wako wa zamaniNi vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu...
View ArticleDiamond Apewa za Uso kwa hili kwa binti yake, "Ukikua chonde mama ukitunze...
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao...
View ArticleVIDEO:Koffi Olomide ampiga dansa wake wa kike airport Nairobi baada ya...
Katika hali ambayo imeonekana kuwashangaza watu wengi, msanii wa rumba kutoka Congo, Koffi ameonekana akimpiga mmoja wa madansa wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) ambaye...
View ArticleMchekeshaji Ismail Issa Mapembe (Mjomba Kundambanda) afariki dunia
Limekuwa pigo jingine kwa tasnia ya filamu nchini Tanzania hususani kwa upande wa uchekeshaji mara baada ya taarifa za kifo cha msanii Kundambanda kusambaa mitandaoni siku hii ya leo kutokana na kiloe...
View ArticleUrafiki wa Kajala na Wema waanza kurejea taratibu, huu ni uthibitisho
Miezi sita iliyopita, Wema Sepetu alikuwa na hasira na Kajala kiasi cha hata kuthubutu kusema hamjui.“Mimi mtu ambaye sitaki kujiassociate naye namtoa kabisa ndio maana naweza nikakaa nikakuuliza...
View ArticleMAVIDEO QUEENS WA BONGO WAKOSA SOKO
KidoaMIAKA ya nyuma kidogo, wasanii wengi wa muziki hususan Bongo Fleva walikuwa wakiandaa video za nyimbo zao hapahapa Bongo lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na dhana kwamba ‘kichupa’...
View ArticleProgramu za vyuo vikuu ambazo hazijasajiliwa na TCU na NACTE kufutwa
Na: Lilian Lundo -Maelezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi...
View ArticleChidi Benz afunguka mazito adai Joh Makini na Nay wa Mitego ni wasanii...
Rapper Chidi Benz amefunguka kwa kusema kuwa hakuna msanii wa Hip Hop ambaye amefikia mafanikio yake huku akidai Joh Makini na Nay wa Mitego wametengenezwa ili waje kulishika game la muziki.Akiongea na...
View ArticleHuu hapa Uamuzi wa Lons Board kwa Wanafunzi ambao hawajarejesha mikopo yao...
Mnamo mwezi Machi, 2016, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilitoa notisi ya siku 60 ikiwataka wanufaika wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kujitokeza na kuanza kurejesha mikopo yao....
View ArticleMfanyabiashara wa Madawa ya Kulevya Aliyemuweka Rehani Mdogo Wake Pakistan...
KIJANA Juma Neti anayedaiwa kumweka rehani mdogo wake, Adamu Akida, kwa maharamia wa dawa za kulevya nchini Pakistan, ametoroka  nchini na kukimbilia Afrika  Kusini.Taarifa za uhakika ambazo MTANZANIA...
View ArticleSababu Iliyosababisha Mwimbaji Koffi Olomide Ampige Dance Wake Hii Hapa......
BEFORE THE KICK‪#‎Koffi_Is_Innocent‬So apparently Koffi Olomide's current wife happened to be his dancer before getting hitched. So after getting married Koffi made her the Choreographer for the ladies...
View ArticleKamanda wa Polisi Kayaongea Kuhusu Mtanzania Aliyewekwa Rehani Pakistani
Baada ya wiki hii katika mitandao ya jamii kusambaa video inayomuonesha kijana mtanzania anayetambulika kwa jina la Adam Akida anayedaiwa kuwekwa Rehani nchini Pakistani kutokana na biashara ya dawa za...
View ArticleNACTE Yatangaza Majina ya Waombaji Udahili Waliochaguliwa Kujiunga Na Kozi...
Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili...
View ArticleKoffi Olomide Akamatwa na Kuzuiliwa Nairobi....Arudishwa Kwao Congo
Mwanamuziki wa CongoKoffi Olomide ambaye amewasili Nairobi Kenya leo asubuhi ya July 22 akiwa na wanamuziki wake pamoja na dancers wake kwa ajili ya show, ameripotiwa kukamatwa baada ya kumpiga teke...
View ArticleVyeti ni gonjwa kwa watumishi, wengi wahaha kutangaza vimepotea
Wakati serikali ikiendelea kuhakikisha vyeti kubaini watumishi wasiokuwa na sifa, watu wengi wamejitokeza kutangaza kupotelewa na vyeti magazetiniKatika kipindi ambacho taasisi mbalimbali zinaendelea...
View ArticleJK: Haikuwa rahisi kumshawishi JPM kuwa Mwenyekiti wa CCM
Mwenyekiti wa CCM anayemaliza muda wake anasema kuwa alitumia kila aina ya ushawishi ili Magufuli akubali kumpokea kijiti kabla ya Novemba 2017. Anasema kuwa alimuendea Ikulu kumshawishi ampokee...
View ArticleSerikali ya Kenya yamtimua Koffi Olomide Kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike
Serikali ya Kenya mapema leo imechukua uamuzi wa kumtimua mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide kufuatia tukio alilolifanya jana la kumpiga mnenguaji wake wa kike katika...
View ArticleMrema Atoa Mpya 'Nawashangaa Wapinzani Mnavyozira Ovyo, Kwetu Anayezira ni...
Mrema Afunguka:"Tarehe 16 Saa mbili asubuhi nilipigiwa simu na Rais Magufuli akanambia anataka kunipa kazi sikuamini, wala Mimi sikukataa kataa kama nikasema na iwe utakavyo Rais, Mbatia na wenzake...
View Article