$ 0 0 Mwenyekiti mpya wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli amemteua ndugu Abdulrahman Kinana kuendelea na nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama hicho, licha ya Kinana kuomba kujiuzulu nafasi hiyoNini maoni yako kuhusu uamuzi huo?