$ 0 0 Lugha ya Kingereza imekuwa shida sana kwa wasanii wengi hapa Bongo lakini mwanadada mrembo Shilole ameamua kuweka aibu pembeni na kujifunza lugha hiyo huko akifanya mizaa kupitia mdandao wa InstagramMtanzame Hapa Akiongea na Mwalimu wake kwa simu: