Nisha Amjibu JackWolper
Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni...
View ArticleWanasayansi: Mugabe ana Vinasaba vya Kuishi Milele
WANASAYANSI maarufu kutoka Taasisi moja kubwa ya Sayansi nchini Uingereza wametoa ripoti ya utafiti walioufanya ikithibitisha kwamba, Rais wa Zimbabwe, Komrade Robert Mugabe amegundulika kuwa BOFYA...
View ArticleNuh Mziwanda Amuumbua Upya Shilole
Msanii anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amemuumbua upya aliyekuwa mwandani wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa kuanika A-Z ya namna alivyokuwa anamnyanyasa kwenye uhusiano...
View ArticleVideo ya wimbo ‘Jike Shuka’ ya Nuh Mziwanda yamtoa povu Shilole..Adai Nuhu ni...
Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake huyo, Shilole ameonyesha kukasirishwa na kazi hiyo.Nuh...
View ArticleMsanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa...
View ArticleViongozi wa CUF Wamkataa Profesa Ibrahim Lipumba.......Wadai Sababu...
Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitengua uamuzi wake wa kung’atuka kwenye wadhifa huo na kuomba kurejea, viongozi wa juu wa chama hicho wamepinga hatua hiyo wakisema katiba...
View ArticlePolisi Wasiowapigia Saluti Wabunge Kukatwa Mshahara
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Fakharia Khamis amehoji bungeni adhabu gani askari anapewa ikiwa atashindwa kutoa saluti kwa mbunge. Katika swali la nyongeza mbunge huyo alitaka kujua maana ya saluti kwa...
View ArticleTigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuhamasisha wateja kuhusu simu bandia
Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuhamasisha wateja kuhusu simu bandia 0Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza ofa mpya ambayo watumiaji wote wa simu ambazo ni bandia watapata simu halisi kila...
View ArticleAkaunti ya Instagram ya Linah yenye Followers milioni 1.3 Yadukuliwa (hacked)
Akaunti ya Instagram ya Linah yenye followers milioni 1.3 imedukuliwa (hacked) Jumanne hii.Tayari hacker huyo ameibadilisha jina akaunti yake na kuipa jina ‘suponzetrie’ huku akifuta picha zake zote...
View ArticleFake Kenyan 'Billionaire' Cons Facebook User
A Kenyan woman residing in South Africa is in distress after she was conned on Facebook by a Kenyan man she met in 2015.Mary Wangari Mwangi became friends with one Nathan Ochieng' who identified...
View ArticleZari is insecure over Jackline Wolper, not Wema Sepetu anymore
Hear this hot gossip......according to insiders Zari is neither insecure about Wema Sepetu nor Kajala Masanja as many people think. According to a source from Diamond's team, Zari's insecurity of her...
View ArticleBREAKING NEWS:Maalim Seif: Prof. Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine,...
Maalim Seif amtaka Prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine CUF hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya CUF.Maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi...
View ArticlePicha: Professor Jay atembelea ‘WCB’ ya Diamond, afurahishwa na uwekezaji...
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi za WCB na kujionea uwekezaji uliyofanywa na rais wa label hiyo Diamond...
View ArticleManeno Mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba Baada ya Kuutaka Uenyekiti wa...
NGOJA NIWAELEZE UKWELI!Kama mzee wetu anao washauri, wamwambie kuwa "DALILI ZA MVUA NI MAWINGU". Na kwamba, NGOMA ivumapo sana hupasuka na tena ajulishwe kuwa VITANI hakuna michezo ya KUJIFICHA na...
View ArticleMakubwa Haya!! Mwanamke Aliyebakwa Akiwa Amelewa Ahukumiwa Kifungo Jela Mwaka...
Doha,Qatar Mahakama moja huko Qatar imempata na hatia mwanamke raia wa Uholanzi kwa kushiriki ngono nje ya ndoa.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleZITTO KABWE "Rais Magufuli Atakuwa Rais Kwa Muhula Mmoja Tu"
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema udikteta anouonyesha Rais John Magufuli ndio kitanzi cha kumfanya awe Rais wa muhula mmoja, kwa kuwa wananchi hawatakuwa tayari kumvumilia...
View ArticleHONGERA SANA USIKU UWAKO ULIPENDEZA SANAAA
Bi harusi mtarajiwa na wapambe wake Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Bi...
View ArticleJack Wolper Nusura Apigwe Risasi Kituo cha Mafuta‘Sheli’
Chupuchupu! Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati almanusra apigwe risasi kwenye kituo kimoja cha mafuta kilichopo Tegeta (jina linahifadhiwa) jijini Dar...
View Article