Maalim Seif amtaka Prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine CUF hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya CUF.
Maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa habari wa kitanzania aliyeko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa Prof Lipumba CUF, Maalim Seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA

Chanzo:Jamii Forum