Basi la Kampuni ya Tahmeed Lateketea Kwa Moto
Basi la Abiria la Kampuni ya TAHMEED linalofanya safari zake kati ya Tanga- Dar es Salaam, limeteketea kwa moto katika barabara ya Chalinze- Segera.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMashabiki ‘Wamteka’ Mwamuzi Mechi ikiendelea
MASHABIKI wa timu ya Friends Rangers, jana Jumanne uvumilivu uliwashinda baada ya kuchukua maamuzi magumu ya ‘kumteka’ mwamuzi wa pembeni aliyekuwa akichezesha mchezo wao dhidi ya Misosi FC kwenye...
View ArticleTaarifa Ya Utekelezaji Wa Maagizo Ya Serikali Kuhusu Ukomo Wa Matumizi Ya...
1.0 UTANGULIZI1.1. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali yenye dhamana ya kusimamia shughuli za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta hapa nchini. Kuwepo kwa Sheria ya Mawasiliano ya...
View ArticleLowassa Amwandikia Waraka Mzito Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu
WAZIRI Mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),...
View ArticleMrema Amkingia Kifua Magufuli....Awataka Wapinzani Wamwache Achape Kazi
MWANASIASA mkongwe nchini na Naibu Waziri Mkuu mstaafu, Agustine Mrema amewataka wapinzani kumwacha Rais Dk. John Magufuli afanye kazi yake kwa kuwa amechaguliwa kihalali na bado hajamaliza hata...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI AAMUA KULUDI KURUDI KIJIJINI
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.Mchekeshaji huyo...
View ArticleMaalim Seif afunguka kuhusu Lipumba, amesema alijiuzulu mwenyewe hakulazimishwa
Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif amejitokeza na kuongelea hatua ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. LIpumba ya kuomba kurudia nafasi ya Uenyekiti.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleSimu Feki Kuzimwa Kesho Rasmi - TCRA
SIMU ziliingizwa nchini zikiwa hazina kiwango kuzimwa rasmi kesho, katika kuhakikisha kila mtu anatumia simu kiwango kwa usalama na ulinzi wa nchi.Akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam,...
View ArticleSimu FEKI Kuzimwa Leo.....Mafundi Wapewa ONYO Kali
IKIWA leo saa sita usiku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kuzima simu feki za mkononi, mafundi wa simu nchini wanatakiwa kuanza mchakato wa kupata leseni ya kutengeneza simu kutoka...
View ArticleWatuhumiwa wa Ubakaji na Waliosambaza Picha za Uchi za Msichana Morogoro...
Waendesha mashtaka wa serikali Morogoro wamepewa miezi miwili kuwasilisha cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ili kuachia ama kuendelea kushikilia dhamana ya washtakiwa wanne wa kesi ya...
View ArticleRamadan Kareem photo From Bongo Movie Actress wema sepetu
Ramadan Kareem photo From Bongo Movie Actress wema sepetu
View ArticleJuni 16 kila mwaka ni siku ya Mtoto Wa Afrika, fahamu zaidi kuhusu siku hii
Leo Juni 16, 2016 ni maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika ambapo shughli na majadala mbalimbali hufanyika ikiwa na lengo la kulinda na kumuinua mtoto wa Afrika.Siku ya mtoto wa Afrika huadhimishwa...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG wishes Happy youth day June 16 2016
June 16th, Many children were injured & some lost thier lives. Over 5000 youth were arrested protesting for better life and education. Happy youth day
View ArticleUtafiti wabaini madhara kwa watu wanaoangalia picha za utupu (porn)
Watoto wengi hupata njia ya kutazama picha za ngono mitandaoni wakiwa na umri mdogo, kwa mujibu wa utafiti.Karibu asilimia 53 ya watoto walio kati ya umri wa miaka 11 na 16 wametizama picha za ngono...
View Article