Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI ADAIWA KUMPATIA MIMBA MWANAFUNZI WA DARASA LA...

ALIYEKUWA  mwalimu mkuu wa shule ya msingi  Mwadui iliyopo kata ya BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:MWIGULU NCHEMBA ATEULIWA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI BADALAI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Haitamvumilia Kiongozi Yeyote Atakayedonoa Fedha Za Michango Ya...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itamchukua hatua kiongozi yeyote atakayedonoa fedha za michango ya madawati inayotolewa na wadau mbalimbali wa maendeleo.Pia amewaagiza watendaji wote wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali Mbaya Yaua 6 na Kujeruhi 8, Same kilimanjaro

WATU sita wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace lililokuwa likitokea Mjini Same kuelekea Njoro wilayani Same, ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Ya Kumwacha Mpenzi Wako Kwa Amani.....

Ziko njia mbili tu ambazo uhusiano baina ya wapenzi wawili utaandika historia. Ama uhusiano utadumu hadi kifo kiwatenganishe ama utavunjika. Hata hivyo uzoefu unaonyesha kuwa kwa walio wengi hawajaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shamsa: Napenda Sana Nguo za Ndani za Mtumba

Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumapili ya June 12 ,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI 6 KALI ZA LEO

BOFYA HAPA CHINIMC DR CHENI BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nisha na Wolper Wavutana, Kisa Viserengeti Boys vya Bongo Flava...

Mastaa wa bongo muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ na Jacqueline  Wolper wamejikuta wakivutana mtandaoni baada yaBOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PHOTOS - World's Most Beautiful Wedding Reception Decor

I have never seen this stuff, i bet you will dream of having it on your wedding Photo by “Love Song Photo”BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking newzz–ZITTO KABWE apotea katika mazingira ya Utata. HAJULIKANI ALIKO...

TAARIFA KWA UMMA.————————————————-Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku. Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mohmmed Dewji bado anaongaza kuwa Tajiri namba moja Tanzania

#1577 Mohammed DewjiReal Time Net Worth As of 6/12/16 $1.09 BillionAge 41Source Of Wealth diversified Residence :Dar es Salaam, TanzaniaCitizenship:TanzaniaMarital Status :MarriedChildren :3Mohammed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACT- Wazalendo:"Lolote litalompata Zitto Polisi watajibu"

 Baad ya kuzuiwa kufanyika kwa Kongamano lao walilopanga kulifanya leo katika ukumbi wa Millenium Tower Jijini Dar es Salaam, Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa hii kwa umma kuhusiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi Wafundishana Wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni Baada ya Walimu...

Wakazi wa kijiji cha Manga kilichopo kata ya Mkata wilayani Handeni wameiomba serikali kuingilia kati kufuatia walimu wawili wa shule ya msingi Kwedichocho kuacha kazi tangu mwishoni mwa jana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 13 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Freeman Mbowe na Viongozi Wengine wa Chadema Wakamatwa.....Alipo Zitto Kabwe...

Wakati Polisi ikimshikilia kwa saa mbili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mkoani Mwanza, jeshi hilo limefuta kongamano la kujadili Bajeti ya Serikali lililoandaliwa na ACT Wazalendo jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof. Ibrahim Lipumba Aomba Kurudia Nafasi yake ya Uenyekiti wa CUF

HATIMAYE Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa Mwenyekti wa Chama cha Wananchi (CUF) ametangaza kurejea kwenye nafasi yake ya uenyekiti-taifa wa chama hicho.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe Aibuka Baada ya Kupotea kwa Siku Mbili.....Kasemaje??? BOFYA Hapa...

Baada ya taarifa za kutoweka, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka leo na kusema yuko salama wa afya huku akilaani mbinu za Jeshi la Polisi kutaka kumkamata kwa siri bila kufuata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 50 Wauawa Baada ya mtu Mmoja Kushambulia klabu ya Mashoga Marekani

Raia wa Marekani, Omar Mateen, 29, ameishambulia kwa bunduki klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani.Mateen, anayetokea Port St. Lucie Florida, ameua takriban watu 50 na kujeruhi wengine 53 na...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live