TEAM NANILIU WAKIONA WATAZIMIA JIONEE JINSI DIAMOND ALIVYOAMUA KUWAONYESHA...
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleZARI THE BOSS LADY AOKOKA,ABATIZWA DIAMOND PLATINUMS AAMBIWA, ATOA TAMKO
Mzazi mwenzake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’MUSA MATEJA,DAR ES SALAAM: Siri nzito imefichuka baada ya kusitiriwa tangu mwaka juzi kwamba, mzazi mwenzake Mbongo Fleva,...
View ArticleKijana Unapo Amua Kuoa Mwanamke mrembo, Msomi au Binti wa Kidigital Basi...
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;BONYEZA HAPA KUSOMA
View ArticleEdward Lowassa Atangaza kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti
Akiongea na wafanyabiashara wa kariakoo waliomtembelea ofisini kwake mikocheni, Lowassa amesema safari ndio kwanza imeanza na yupo fiti kwa mapambano.Amewataka wanamabadiliko kutokukata tamaa...
View ArticleGARI Aina ya BMW Anayomiliki Masanja Mkandamizaji Yawa Gumzo...Mwenyewe...
Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMiss Tanzania Ataka Namba ya Simu ya Mbwana Samatta
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta kwa...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/2016 HAYA HAPA
Baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu...
View ArticleLowassa Atangaza Kugombea Tena Urais Mwaka 2020
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alitangaza kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020. Lowassa alitangaza hayo mbele ya wafanyabiashara wa sokoni...
View ArticleWizara ya Nishati Yalikana Gazeti la Mtanzania
WIZARA ya Nishati na Madini imeikanusha habari iliyotolewa kwenye gazeti la Mtanzania la tarehe 14 Januari 2016 kichwa chake cha habari kilichosomeka “HARUFU YA JIPU MRADI WA UMEME” aliyoandika...
View ArticleSix Telecoms staff in court over low phone charges, lost revenues.
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).A director and chief executive officer of Six Telecoms Company Ltd, Hafidh Shamte and five others yesterday appeared before the Kisutu Resident...
View ArticleUchaguzi wa Meya Ilala: CCM wapata kura 0, UKAWA 31
Baada ya mvutano mkali unaoendelea wabunge wa CCM wa ilala wametoka nje kususia uchaguzi.Matokeo ya Umeya Ilala,1. Charless Kuyeko (UKAWA) kura 31,2. Heri Kessy (CCM) kura 0.Chanzo ITV
View ArticleBreaking News:UKAWA Washinda kiti ca Umeya Kinondoni, 16 January 2016
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20.Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya ilala...
View ArticleIdriss Sultan Amtusi Diamond, Ajitapa Mtaani Kuwa yeye ni Kidume Aliyeweza...
Hii dharau! Siku chache baada ya staa wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kudaiwa kushika ujauzito ambao mhusika bado ni fumbo, balaa limezuka kufuatia Mshindi waBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMama Kaniletea Mke Kutoka Kijijini Bila Ridhaa Yangu, Nifanyeje?
Wadau mwishoni mwa December mama alikuja hapa dar na mgeni, walifikia kwangu, mgeni mwenyewe ni binti wa kama miaka 20 hivi, nilishangaa maana mama akija Dar hufikia kwaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSerikali Yatoa Tamko Kali Kuhusu Tiba Asili na Tiba Mbadala
Ndugu Wananchi, Katika nchi yoyote ile uhuru usio na mipaka ni jambo la hatari; lakini pia hakuna haki isiyo na wajibu. Vivyo hivyo, katika huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala hapa nchini kuna Sheria,...
View ArticleTCRA Yavifungia Vituo 27 Vya Radio Na Tv Kwa Kukwepa Kodi.......Miongoni Mwa...
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TV kikiwemo kituo cha Star TV, Radio free Afrika, Kiss Fm na Uhuru FM kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati ..Akitangaza...
View ArticleBasi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu...
Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine...
View ArticleMagazeti Ya tanzania Leo Jumamosi ya Januari 16,2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleUKAWA Washinda Kiti ca Umeya Kinondoni na Ilala, Dar es Salaam
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob (katikati) akiongoza sala ya kufungua mkutano wa kwanza baada ya uchaguzi wa kumchagua Meya na Naibu Meya wa manispaa hiyo.******Hatimaye baada ya danadana...
View Article