Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Yaomba Radhi Kutokana na Maneno ya Kibaguzi Kwenye Bango Katika Sherehe...

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano ya January 13,2015

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

    LM IT AND BUSINESS CONSULTANCY SERVICEBLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)....................  60,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)......... 45,000/=ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA HARUSI YA GABRIEL NA EVA ULIPENDEZA SANA

 Mc Dr Cheni Mshereheshaji wa sherehe hii akiwa na maharusi Gabriel na Eva Bwana na Bi Harusi wakicheza MzikiMc Dr Cheni akisherehesha kuhakikisha kila kitu kinaenda sawaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jecha wa ZEC Atoka Mafichoni.....Dk. Shein Asisitiza Uchaguzi Lazima Urudiwe...

Hatimaye  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana ameonekana hadharani katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi wa Miaka 13 Aozeshwa kwa Ng’ombe 13

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Mika NyangeMtoto mwenye umri wa miaka 13 anayesoma darasa la sita katika Shule ya Msingi Wishiteleja wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, ameozeshwa kwa nguvu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DPP Akata Rufaa Kupinga Kuachiwa Huru Kwa Shehe Ponda

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) ameamua kukata rufaa Mahakama Kuu dhidi ya kesi ya uchochezi inayomkabili mwanaharakati wa Kiislamu Shehe Ponda Issa Ponda.Mwanasheria Mwandamizi katika ofisi ya DPP,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDOA ya Wastara na Mbunge wa CCM Nusura Itoe Uhai wa Bond Aliyekuwa Boyfriend...

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu, Wastara Juma kufunga ndoa na Mbunge wa Jimbo la Donge,  Zanzibar, Sadifa Juma aliyekuwa mpenzi wake, Bond Suleiman nusu afe, Risasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:Jeshi la Polisi Latoa Kauli Kali Kwenda kwa Mabenki Kuhusu...

Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Operasheni kali inayoendelea jijini Dar es Salaam Na Avila Kakingo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Akamatwa Na Meno Ya Tembo Kilo 50 Yenye Thamani Ya Tsh Mil 120 Mkoani Katavi

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) Mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amekamatwa akiwa na meno ya Tembo nane yenye uzito wa kilogramu 50 yakiwa na thamani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yatumia bilioni 459 kwenye mikopo ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo...

Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya wanafunzi 122,486 wamenufaika.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yamzawadia Samatta Kiwanja Na Fedha

Mchezaji Mbwana Samatta aliyejishindia Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani nchini Nigeria amezawadiwa na serikali kiwanja kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na fedha taslimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pato la Taifa laendelea kukua

Pato la Taifa katika kipindi cha Robo tatu ya mwaka 2015 limeendelea kukua kwa kasi ya asilimia 6.3 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 5.4 katika kipindi cha mwaka 2014.  Hayo yamebainishwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

John Dumelo Shares His Views On How Best To Treat a Woman.

My view on how to treat women. 1.Don't compare your wife to other women. You don't know what their husbands are going through. 2. Never expose your wife's weakness to your family or friends or run to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Alhamisi Ya Januari 14,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape Aitaka Chadema Imtimue Lowassa

CCM imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho kikuu cha upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo, kinatakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI ya Magufuli Yaingia Vyuoni..Sasa Vyuo Vyote Visivyo na Sifa Kufutwa

Serikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.Taarifa hiyo imetolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif Sharif Hamad Amwandikia Barua Papa Francis Kumwomba Aingilie Kati...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amemwangukia Papa Francis kwa kumwandikia barua, akimuomba kutumia ushawishi wake na Tanzania kumaliza mzozo wa kisiasa kisiwani humo kabla hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jengo la Ghorofa 16 Mali ya NHC Lilojengwa Chini ya Kiwango Mikononi Mwa...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 18 kwa uongozi wa Manispaa ya Ilala kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo katika Mtaa wa Indira Gandhi kabla halijaleta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa Rais...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live